Treni linauzwa bei sawa na bure

Treni linauzwa bei sawa na bure

The Masterpiece

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
564
Reaction score
1,565
Mimi ni wakala wa kampuni ya kuuza matreni kutoka Wuhan China
Tunauza treni lenye uwezo wa kubeba tani sita, linatumia diesel au petrol, linadumu hadi miaka 18, pia linatembea kwenye reli ya sgr
Bei ni bilioni 1.5

Tunapeleka kokote bure kwa Dar
Mikoani pia tunatuma
Bei inaongeleka.
Screenshot_20200402-194242.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei kali huwezi kununua ukiwa na jelo la kuzuga, hili treni kulipata labda kwenye belo la mitumba
 
Tunapeleka kokote bure kwa Dar
Mikoani pia tunatuma
Bei inaongeleka.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144] The Masterpiece,

Jr[emoji769]
 
Ok ila hapo uliposema mnapeleka popote mmeniacha hoi.. Yani hata kama hakuna njia yake mnapeleka? BTW sidhani kama China bado kuna hizo version... Anyway ni biashara... Wahitaji watakuja
Karibu mkuu, hii machine ni version ya mjerumani. Iko poa kabisa.
Inafaa hasa kwa uchumi wetu wa viwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Ok ila hapo uliposema mnapeleka popote mmeniacha hoi.. Yani hata kama hakuna njia yake mnapeleka? BTW sidhani kama China bado kuna hizo version... Anyway ni biashara... Wahitaji watakuja

Jr[emoji769]
Haaa haaa haaa
Hii hata nanjilinji tunaipeleka tukifika huko tunamjengea reli anaanza kubebea abiria au mizigo.
Hii ni very yuzifuli kuliko mabasi au maroli.
UCHUMI WA VIWANDA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom