Condition: Used for about 4 months
Price:400k TZS (price is negotiable)
Problem: Focus Screen (costs 150 - 200k TZS to fix)
Pick Up: Sinza A
Currently market price: $1000 USD - $1500 USD
Any...
Kwanza kabisa napenda niwasalimu kwa pamoja wana jamii wenzangu. Kwa ufupi sana Na nisikuchosheni wasomaji Na walengwa wangu wa hili tatizo.
Niende kwenye hoja yangu,nimetafuta sana kitabu cha...
Habari wana jF, nimejaribu kutafiti mitandaoni kuhusiana na upatikanaji wa hiyo bidhaa(hizo boxes) hapo pichani...lakini bado sijafanikiwa kwa hapa nchini kwetu nawezaje kupata hizo boxes sample...
Salama wana wapendwa. Nahitaji mashine ya kupukuchua mahindi. Niko mwanza mjini. Kuna namba ambazo nomechukua hapa jukwaani lakini wahusika hawapatikani. Kuna moja kutoka Zanzibar na ingine ngome...
Nauza gari ikiwa kwenye hali nzuri sana kama mpya. Haijawahi kupata ajali ya aina yoyote wala kupigwa rangi.
Automatic
AC working
1290cc
Model ya 2004
Bei ni Milioni 7 (maongezi kidogo yapo)
Iko...
Ndugu poleni na majukumu,
Nauza Pikipiki aina ya Tvs INA miezi mitano, bei ni 1.4million.
Location Dar-mbezi Beach Makonde.
Mawasiliano yangu ni 0718221009.
Sent using Jamii Forums mobile app
A free-standing residential or can be used as an office is available for rent. The house has three an suits bedrooms, living room extended to dinning area, guest toilet, close-up kitchen and two...
Inakausha vitu mbalimbali kama nyama, samaki, matunda, dagaa, viungo vya chai na pilau kama hiliki, karafuu, mdalasini,nk.
Ina trays 16 na inaingia kg32 kwa mara moja. Muda wa kukausha itategemea...
Wanajamvi
Kwa wale walioko mikoa ya Shinyanga na Rukwa naomba kujua bei ya pumba ya mahindi na mpunga. Nahitaji kama tani 10 za pumba ya mpunga na mahindi
Kiwanja chenye hati kinahitajika ,ukubwa uwe square metre 1000 au zaidi.
Maeneo
Goba au Bunju
mwenye nacho anichek kwa;
mawasiliano: 0765 494 548
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Katika kipindi hiki cha janga la virusi vya CORONA (covid-19) tunafahamu sote mambo mengi yanaenda kidigitali(mtandaoni) zaidi hivyo utahitaji post zako ziwe za kuvutia kwa wafuasi na wateja wako...
Habari wadau,
Kuna kitanda cha mbao hapa chenye ukubwa wa 4× 6 kinauzwa Tsh. 80,000/= ila maongezi yapo bei inapungua tu usiogope.
Hata kama upo mkoani unaweza ukatumiwa na ukakipata
Natafuta muuzaji wa jumla wa zabibu kavu pamoja na almond (ulozi) aliye Zanzibar. kwa sasa ninapata kwa mtu anayenunua toka huko sasa nataka nimtoe mtu wa kati niagizie moja kwa moja. PM kama...
kitanda .
Ukubwa 5*6
Kipya hakijapakwa polish/rangi na chaga zake bado hazijaunganishwa .
godoro
Comfy inch 6 limetumika kidogo <mwezi mmoja
Bei ya vyote 150k (laki na nusu)
napatikana dar...
Je ungependa kujenga kwa utaratibu wa ramani, basi usisite kunialika kuja site kuchukua vipimo na kukuandalia mchoro wa ramani kwa vipimo na kujua gharama za majenzi pia.
Kama bango linavyojieleza, piece 100,000 za mask zinazoziba pua na mdomo zinahitajika haraka. Kama unazo nicheki PM biashara ifanyike.
Niko Dar es salaam
Msaada wadau,
Natafuta magunia (viloba) kwa ajili ya kuwekea mazao. Hasa yale ya 100kg kwa bei ya jumla.
Mwenye kujua bei. Navitaka hapa kwetu Sumbawanga.
Asanteni.
Tuma Meseji 0620 484 081...