Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji tecno spark 4,spark 3 spark 2 ,camon 11, au tecno yoyote ,infinix au samsung a10 nipo moshi na uwe moshi au arusha kama unayo nichek kwa namba 0759 432 654 au njoo pm Sent using Jamii...
0 Reactions
1 Replies
844 Views
Tecno Spark4 Ina Camera tatu nyuma na moja mbele, Face lock na Finger print. Ram 2GB 32GB Tsh. 200,000/= Simu Ina mwezi moja na nusu kwaiyo bado mpya Wala haina mchubuko hata moja. Nipo DSM. Simu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu! naomba mwenye kujua hizi cable zinauzwa wapi mji wa Dodoma pia duka lipi kama ataweza nipa uelekeo . Nb: Cable tu za kuunga External hdd na pc, itapendeza kama ukiwekamo kabei(ikiwa...
0 Reactions
7 Replies
45K Views
Ni gari imetunzwa vizuri Sana Ni six ndefu box body no C Inapiga kazi jijini Dar Mawasiliano: 0758088152 s Sihitaji dalali, mimi ndo mmiliki Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba tuelewane hapa kwanza, Biashara ya sasahivi imejaa ushindani mkubwa sana, bila shaka bidhaa/huduma unayouza mteja anaweza kuipata sehemu nyingine bila wasiwasi wowote mfano viatu, chakula...
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Price: 16.5 Ml. Engine Code :ZN Mileage 100,265km Engine Size 1,500cc Registration Year * 2009 Manufacture Year ** 2009/ 10 Ext. Color Black Wheel Drive :2wheel drive Transmission: Automatic...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
☝☝☝ Mini fridge/frizer. Nzuri kabisaaa Inauzwa.. *200,000/TZS net...(* IPO madale mwisho -DAR ES SALAAM" Contact: 0784 355775
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mitsubishi Fuso Tipper inauzwa. Iko katika hali nzuri sana ,unanunua na kuanza kufanya kazi ,popote pale Afrika inafika ,bei ni 34 milioni maongezi yapo ,gari ipo mkoa wa Manyara, kwa mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nyumba ya wapangaji inauzwa, ina wapangaji 5 ( 3 ni single rooms, 2 ni chumba na sebule) wote kwa pamoja wanalipa 450,000 kwa mwezi na kila mmoja ana Luku yake. Ina vyoo 4. Maji Dawasco na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
When we talk about powervu, we are talking about a technique used in encrypting certain channels. It is a CAS like dstv channels, canalplus channels, beinsports channels. Just like dstv channels...
0 Reactions
25 Replies
15K Views
Nyumba bora za ghorofani, zinavutia na za kisasa. Nyumba zipo eneo tulivu la mbezi juu, wapangaji wanne wa kwanza watapangishwa katika nyumba ambazo ukiwa sebuleni au katika varanda unatazama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Anatakiwa fundi wa Inverter anaye weza kurekebisha Inverter yenye ukubwa wa 5KVA/48VDC. Aliyepo hapa Dar es Salaam awasiliane nami inbox.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mayai ya kisasa kwa wakazi wa Dar au maeneo ya karibu na Dar, yawe hayajakaa muda mrefu na size iwe nzuri. Shamba nafata mwenyewe bei ya mfugaji sitaki wauzaji wa jumla, mfugaji awe na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana JF, Kwa heshima kubwa tunawakaribisha na kuwaarika wadau wa samaki kua tunapokea order na kutuma samaki wabichi waliogandishwa kutoka Mwanza aina ya Sato na sangara. Bei zetu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau salam! Katika pita pita yangu Jumia, nimeona mafriji ya bei nafuu ambayo sio ya kifamilia nimekuta mengi yake ni brand ya Boss! Hata muonekane wake, hususani yale ya double doors naona ni...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Tunatoa huduma ya kukodisha magari(Private) Aina ya kazi: 1.Tours 2.Harusi 3.Sendoff 4.Kusafirisha Misiba 5.Picnic N.K Location.Ubungo external Call us 0784/0753/0715/0622 955 900
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Sifa 1. Rangi ni gold 2. Namba za usajili ni T244 DPS 3. Ukubwa wa injini ni 1490cc 4. Idadi ya km ilizotembea ni 77,000 kms mpaka Sasa 5. Inamwaka mmoja tokea imenunuliwa 6. Inabima kubwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
BOSS LED 2019.. 32inch new kabisa imebaki moja tu..kwa bei sawa na bure 370k... Picha clean[emoji1491] Guarantee 2 years, screen protector + risiti. [emoji736]
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom