Natafuta kitabu cha Bado Mmoja

Natafuta kitabu cha Bado Mmoja

hometown

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
939
Reaction score
1,315
Kwanza kabisa napenda niwasalimu kwa pamoja wana jamii wenzangu. Kwa ufupi sana Na nisikuchosheni wasomaji Na walengwa wangu wa hili tatizo.

Niende kwenye hoja yangu,nimetafuta sana kitabu cha BADO MMOJA bila mafanikio mpaka sasa,kwa kuwa hili ni jukwaa la watanzania Na jumuiko zima la watoa maoni Na misaada ya kimawazo ,nimeona niwashirikishe nanyi ndugu zangu, shida yangu kubwa ni kupata copy au kitabu cha BADO MMOJA kwa kuniuzia kwa bei nzuri tu nami pia ntakinunua Na ntamrudishia kitabu chake.

Uwe eneo lolote la East Africa ntajua mwenyewe namna ya kukufata au njia yoyote tutakayo ona twaweza kukabidhiana, mwenye nacho au kama kuna jamaa,ndugu, rafiki,AMA jirani yako,tafadhari niunganishe nae tufanye maelewano.

Nawashukuruni wote wana jamii pamoja Na watakaojiunga ,njoo inbox kwa nawasiliano zaidi.

Asanteni
Nimewakilisha

mwongo atofautiani Na mchawi
 
Back
Top Bottom