Za muda huu waungwana.
Mimi natafuta chumba cha kupanga single kwa maeneo ya Dar
Najua Dar ni kubwa. Popote panapopatikana sawa, nitaangalia sehemu ya kwenda
Kiwe na Cements, kuhusu umeme sio lazima.
Bajet yangu 20,000 miezi miwili tu
Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app