Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini ndugu zangu.. Ninaomba tuwasiliane mwenye mwenye chumba cha kupanga maeneo ya mikocheni B, Chama au Msasani. Chumba kiwe self (kikiwa na sebule itapendeza) Maji uhakika..budget 150k...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
KIFAA CHA KUPIMIA MADINI ARDHINI(GOLD DETECTOR MACHINE) BEI: 5,500,000 (MIL 5.5) NAME : EQUINOX 800 MAHALI KIFAA KILIPO: DAR ES SALAAM KIPO KWENYE HALI NZURI TEL : 0759707883/ 0683126500
0 Reactions
4 Replies
12K Views
Kiwanja kina ukubwa wa sqms 625, Kina Boma lililofika usawa wa lenta Boma ni lina vyumba vitatu, viwili ni master,dining na sebule . Eneo..mwembe mdogo kigamboni. Bei..mil 18. Mawasiliano 0746...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Furahia ofa yetu mpya kabambe kwa waigizaji wote wa magari kutoka Japan, Dubai, Singapore, Uk, China, India, South Africa etc. Tunakutolea Magari Bandarini kwa Gharama ya 150,000 tshs. Tu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji Huawei P30pro used but clean and scratch less. Bei yake inaweza kuwaje,serious owner inbox. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
612 Views
Castor oil yanafaida zifuatzo 1. Hukuza na kujaza nywele. 2. Hundoa michirizi. 3.Hudoa chunusi. 4. Kuondoa MBA 5.Huondoa mvi Na faida nyingine nying. Bei. 120 mls ni 5000/= 250 mls ni 10000/=...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sofa laki mbili kila moja zipo tatu Meza moja elfu 50 tu Laini ya uwakala Mpesa laki moja na arobaini tu VYOTE PIGA SIMU 0716358293 na 0744051524 Friji ipo vizuri sana na inagandisha laki...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba iwe maeneo ya Mkolani, Nyegezi, Nyakato na Igoma. Chumba na Sebule Iwe na Jiko, Choo ya ndani, Tiles, Bei 50,000-100,000 isizidi. NiPM kama unayo tafadhari
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu nina biashara ya mchele pamoja na mpunga huku mkoani Tabora. Gunia la mpunga kwa huku nauza 70000 Mchele nauza 1300 kwa kilo kwa huku Nipo Nzega Tabora NB:Mchele wa Tabora na Shinyanga ni...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi nyoote. Wakuu naomba kufahamishwa bei na pahara wanapopatkana dagaa wakavu either wa Mwanza, Bukoba n.k kwa hapa jiji la Dar. Nahitaji wanaouzwa kwa kipimo cha debe (ndoo ya lita...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Toyo used inauzwa kwa bei Mil 2 kamili. Location, Chombo kipo Arusha Tengeru (Sanksi) Call: 0715-498589
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji Huawei P30pro used but clean and scratch less. Bei yake inaweza kuwaje, serious owner inbox. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
833 Views
Nauza mask(surgical mask) moja ni 2000 ila ukinunua nyingi bei itapungua mawasiliano 0767626242 Niko Tabora nakutumia popote ulipo Tanzania hii. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina kiasi Cha mil 15 natafuta Nyumba, zinazopigwa minada na Bank so naomba location za Minada mbalimbali ili nikajaribu bahati ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Bila shaka unaweza ukawa ni mmoja ya watu ambao ulishawahi kufanya miamala na ukahitaji kupata historia ya miamala yako yote kwenye mpangilio mzuri, ili uweze kubajeti pesa zako au kufahamu vizuri...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naunza kiwanja changu kiko Mbezi Msakuzi kilomita 2.5 kutoka mbezi mwisho. Umeme upo palepale site na huduma zingine za jamii zipo. Kimeshafanyiwa preminary survey. Ukubwa: mita 20 kwa mita 21.Bei...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari natafuta chumba self contained maneno ya nyegezi kona kijiweni-mwanza bei kwa mwez 50-60
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari...karibu sabuni za miche kwa bei ya jumla ..carton yenye miche 20 kwa sh..24000.. Sabuni ni nzuri..hazichubui. .zina povu na huondoa uchafu haraka..pia ina harufu iliyotuliaaaaa. ..niko...
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Habarini wakuu. Nauza kiwanja cha ukubwa wa 1700 square meters. Kipo maeneo ya Pumuani wilaya ya Moshi Mjini mkoa wa Kilimanjaro. Umbali toka barabarani ni 120m na toka moshi mjini ni 23km...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kipind hiki kigumu cha stay home safe epuka corona a.k.a COVID-19 . Tumekuletea huduma za nyumban karibu kwa wakazi wa DAR-ES-SALAAM unaweza kupiga number hizo hapo chini utaletewa chochote...
1 Reactions
3 Replies
852 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…