HOME SHOPPING

HOME SHOPPING

fortiusi

Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
9
Reaction score
5
Kwa kipind hiki kigumu cha stay home safe epuka corona a.k.a COVID-19 .

Tumekuletea huduma za nyumban karibu kwa wakazi wa DAR-ES-SALAAM unaweza kupiga number hizo hapo chini utaletewa chochote hapo ulipo iwe kutoka Gengeni, Sokon, Super market, Kkoo, Bugurun, Mabibo, na sehemu yoyote utalipia getin kwako PIGA

0759691809 Kaka Chip
0788 974 146 Dada Sia
0654 397 644 Dada Eunice
0714 050 221 Kaka Yoery

Bei za vitu zinategemea huitaji wa bidhaa hiyo sokon kwa siku hio watu wetu wako makin na kwa kufuatilia bei za bidhaa husika kwa makin pamoja na kukushilikisha muhusika.
 
Ni vizuri pia kuweka angalizo kwa wale watakaofanya masihara ya usumbufu, ya kupiga na kuzima simu, na baadaye hapatikani. Wengi wetu akili zetu hazijakaa sawa
 
Mi ningependa kujua mtoa mada changamoto kama hiyo hapo juu mmejipanga kuiepuka vipi, mtu inabidi atume advance kwanza au mnafanyaje katika hilo kiongozi...?
 
Back
Top Bottom