MJ18
Member
- Jul 2, 2018
- 53
- 52
Habarini wakuu.
Nauza kiwanja cha ukubwa wa 1700 square meters. Kipo maeneo ya Pumuani wilaya ya Moshi Mjini mkoa wa Kilimanjaro.
Umbali toka barabarani ni 120m na toka moshi mjini ni 23km (dakika 30). Huduma za kijamii kama maji na umeme zinapatikana.
Bei: 20M tu (Mazungumzo yapo)
Kama uko interested tuwasiliane kwa namba 0769523928. Karibuni.