Gari ni nzima haihitaji matengenezo yoyote. Ina nyaraka zote muhimu gari haina udalali unawasiliana na mwny nayo moja kwa moja.
IPO Arusha piga 0746265566
Bei ni mil 20
Maongezi yapo.
Sent...
*MAUMIVU YA SHINGO/NECK PAIN*
Maumivu ya shingo hushamblia binadamu wa umri wowote na jinsia yeyote. Ingawa Mara nyingi watu wazima wenye umri kuanzia miaka 35.
*VISABABISHI*
1.Mabadiliko ya...
Habari ndugu zangu.
.
Kwa kuwa Hapa JF ni uwanja mpana.wa Watu wengi Na wa kutoka sehemu mbali mbali natumaini Hitaji langu litapata ufumbuzi.
Kama kuna Dalali au MTU yoyote kwa Hapa Dar...
Habari WanaJF!
Naomba kusaidiwa Tovuti zitakazo niwezesha kufanya manunuzi ya bidhaa Mtandaoni (Phones & Laptops) hasa katika hizo Nchi za Falme Za Kiarabu na Thailand.
Asante
Sent using Jamii...
Pure black castor oil ni Mafuta halisi ya Tanzania yatokanayo na mbegu za mnyonyo yenye vimelea vya omega 9 vinavyochochea ukuaji Wa nywele kwa haraka na uhakika, pia huondoa fungus kama MBA na...
Buda Water Pump Dispenser
- Ni rahisi kutumia
-Ina Rechargeable Battery Inatumia Usb Cable (smartphone charger) kucharge
-Inatunza Charge ndani Mwezi Mmoja na zaidi
-Kuwasha na kuzima unabonyeza...
Nahitaji mahindi
Uzito wa moisture usiozidi 13
Ya zamani ya unga sembe tan hata 100
Bei iwe 680 Hadi 700.
Napatikana Dar es Salaam kwa mawasiliano zaidi 0684558213
UTANGULIZI
Practical Idealist ni Account maalumu ya mitandao ya kijamii iliyoanzishwa na watu wenye taaluma na uzoefu mbalimbali katika tasnia ya ujenzi mnamo mwezi May, 2020 katika Jiji la Dar es...
Umofia kwenu!!
Kuna muda unamaliza ujenzi na materials yanabaki, unatafuta wa kukurudishia gharama kdogo wakati ambapo kuna mdau anahitaji materials hayo hayo ulobakisha akamilishe jengo lake...
Kama bandiko linavyojieleza kwa wale wanaohitaji mifupa (unga wa mifupa) kwa ajili ya kutengeneza vyakula vya mifugo ninapokea order sasa karibuni. Bei ni nzuri.
nipo dar es salaam.
Mawasiliano...
SALAMU WAKUU
Nauza nyumba yangu, ambayo bado sijaezeka, ina vyumba viwili (Kimoja ni master), pamoja na sebule,
Saizi ya kiwanja ni 20M kwa 20M, Nyumba iko Ituha-Mbeya, karibu kabisa na shule ya...
Wakuu natafuta kinanda cha biashara used cha Tigo Pesa na kuweka baadhi ya biashara zingine, kiwe cha chuma kama hivi ambavyo wanatumia watu wa Tigo Pesa.
Kibanda kiwe used, maana bajeti yangu ni...
Tunauza tv aina zote smart na kawaida zote flat screen na pia tunauza spea za tv aina zote na tunafanya matengenezo ya tv.
Tupo Machinga Complex ghorofa ya 4 jengo la kwanza kutokea Kariakoo Lindi...
AGIZA NASI GARI TOKA JAPAN KWA GHARAMA NAFUU KABISA*
Toyota Belta
Year : 2007
Drive : 2wd
Trans : Auto
Fuel : Petrol
Engine capacity : 1290cc
Seat : 5
Grade : G
[emoji625] Features [emoji625] ...