Brother Malcom
Senior Member
- Oct 27, 2015
- 115
- 514
H
Kwaio Mkuu nguo za skuhz hazipauki sio?Sidhani km dar ya leo kuna watu wanavaa nguo za kuchovya...mambo hayo yalifanywa miaka ya 90 hadi 2000 magomeni kota dar ...mkuu mambo ya kizamani sn hayo...
Si kama hazipauki...tatizo watu hawachovi nguo siku hizi....mambo ya zamani sn hayo....nguo ikipauka...weka pembeni.. Au mpe hata ndugu yako....ataiyona mpya..nguo nyingi sn siku hizi...ni bei rahisi tu.....mkuu....dukani na mitumbani....kwa nn uchovye nguo?mambo hayo zamani mkuu...MJANJA navaa MITUMBA.. ukivaa za dukani miaka hyo unaonekana WAKUJA....sasa mambo yamebadilika kaka...INGIA SHOP tu...upate kitu QUALITY ndy suluhisho..Kwaio Mkuu nguo za skuhz hazipauki sio?
Ni wapi huko nijuzeni
Haha mkuu chovya chovya humaliza buyu la asali