SULUHISHO LA MAUMIVU YA SHINGO

SULUHISHO LA MAUMIVU YA SHINGO

Joined
Aug 18, 2016
Posts
47
Reaction score
26
*MAUMIVU YA SHINGO/NECK PAIN*
Maumivu ya shingo hushamblia binadamu wa umri wowote na jinsia yeyote. Ingawa Mara nyingi watu wazima wenye umri kuanzia miaka 35.
*VISABABISHI*
1.Mabadiliko ya uchakavu wa tishu mbalimbali katika mwili hasa sehemu ya shingo.
2.Ufanyaji wa kazi na shughuli mbalimbali zihusishazo shingo pasipo kuzingatia taratibu za kushuhulisha mwili.
3.Kulala vibaya na kuumiza misuli ya shingo
4.Yawezekana ikawa ni matokeo ya ajali
5.Homa mbalimbali kama malaria
6.Uvimbe shingoni
7.Kuinama kwa muda mrefu hasa sehemu ya shingo
8.Kubeba vitu vizito kichwani
9.Msongo wa mawazo
10.Uwepo wa magonjwa kama kisukari na shinikizo LA juu LA damu
⁉ *HUAJE?*
Maumivu haya yanaweza kuwa ya ghafla au taratibu,huweza kusambaa hadi eneo lingine na uti wamgongo au mikononi.
Pia huweza sababisha misuli kuwa dhaifu na kupungua nguvu kwa misuli ya mikono.
*Karibu Happiness Massage Upate Suluhisho la Uhakika*
Tunapatikana lamada hotel ilala manyara 27
Tupo wazi masaa 24
0715343161
0756343161
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom