Nina uhitaji wa haraka sana wa pesa, ninauza TV yangu... LG, Full HD nimeitumia kwa mwaka mmoja lakini ipo katika hali nzuri. Ipo hapa Sinza A, karibu na Mlimani City!
Tuwasiliane kwa...
Ipo Buhongwa mita 150 kutoka barabara kuu ya lami.
Ina
Nyumba 3(master brdroom mmoja)
Sebule & siiting room
Jiko & store
Store ya nje
Maji & umeme vyote vipo
Nyumba tiyari ina hati na ukubwa wa...
Habari za muda huu wakuu.. Nmekuja kwenu kuomba msaada wa kuelekezwa wapi Sufi znapatikana na gharama zikoje Nina plan kuanza project ya kutengeneza mito. Karibuni kwa Mawazo mbarikiwe.
Baadhi ya huduma zetu ni darasa lakufuatwa na kufundishiwa ulipo, mafunzo ya mtu mmoja mmoja kwenye gari na mwalimu wake, mafunzo ya jumamosi na jumapili kwa wasio na mda siku za kazi
Tupo wazi...
*TARATIBU ZA KUFUATA ILI KUPATA MKOPO KWA KUWEKA REHANI NYUMBA AU KIWANJA*
Ili muweka rehani aweze kupata mkopo kupitia taasisi za fedha ni muhimu afanye mambo yafuatayo:
i. Ahakikishe kwamba ana...
Wakuu mada tajwa hapo yahusika,
Nahitaji kupata mbegu bora kwa ajili ya ufugaji, nikisema mbegu bora kwa mfugaji anaelewa. ingependeza hasa kwa alienao maeneo ya kanda ya Kati. Nipigie kwa...
Naamini mko salama wakuu,
Mimi pia ni mfugaji mpya. Nimeanza na jogoo mmoja mkubwa sana, nilimnunua kama kitoweo ghafla nikaghairi tokana na ubora wa jogoo huyo, lengo la uzi huu sasa ni...
Bone see saw for sale
EASY POWER....ITALIAN DESIGN
BEI: MILLION MOJA( imetumika mwez mmoja tu)
Napatkana Dar 0766775599
Sent using Jamii Forums mobile app
Distinguished Tanzanians and All Africans in the Diaspora
It is with great happiness and enthusiasm that I send
warm greetings to you and your family.I do wish many
blessings to your family's...
Wana bodi wasalaam,
Shamba lina uzwa lenye ukubwa wa Ekari mbili.
Lipo Moshi Mjohoroni mbele kidogo shia lipo chini ya barabara kuu lami kata ya kiborloni Municipal
Bei:55ml mazungumzo yapo...
Haikuwa rahisi, lakini hatua kwa hatua hatimaye ikawezekana! Lengo lilikuwa ni kuhakikisha Valentine inakuwa ya kipekee sana kwa wateja wa simu za TECNO SPARK4, CAMON 12 na CAMON12 AIR, pamoja...
Tunauza sit up bench, punching ball pamoja na dumbell vyote ni 270,000 tsh free delivery in DSM ila mikoani tunatuma kwa bus wasiliana nasi 0754234121
Sent using Jamii Forums mobile app
If you have what it takes to be a good model, and you want some free photo shoot... Check out with me!
I will be taking some outdoors headshots and portraits next week from Monday to Saturday...
Simu hii RAM yake ni 2.
Internal memory 32.
Mtandao uko vizuri.
Kifaa bado ni kipya Sana tu utakipenda tu.
Ni Tsh 220000/= tu( tunaweza kuzungumzia Kama ukija powa)
PICHA IMEAMBATANISHWA.
Sent...
Zipo za ujazo wa
- 60mls kwa 8k
- 200ml kwa 15k
Kwa wateja wa dar ukichukua kuanzia 2 na kuendelea za 200ml au 3 na kuendelea za 60ml... unaletewa ulipo. Mikoani pia tunatuma kuanzia 15 pieces...
Wakati watu wengi wakiwa wamesimamisha shughuli zao(Biashara/Ajira)na wasijue la kufanya wakati huu,Kwako inapaswa kuwa ni nafasi nzuri kujiongezea kipato kwa kasi kwa kuzitambua fursa zilizoko...
kwema wakuu? natafuta iphone 5 toleo lolote kwa bei ya chini sana, au android yoyote kwa 100k maximum...niko Arusha..
Ni vizuri simu ikawa ya kwako, maana namnunulia mtu ambaye yuko kijijini so...
Tunapatikana keko ,ukifanya kazi nasisi tutakuletea hadi ulipo ,wasiliana nasisi kwa 0758006014 au tutafute instagram (rigid furniture Tz)
Sent using Jamii Forums mobile app
Toyota premio
Year 2004
Cc 1490
New tyre
Full document
Price ml.13
Gari nzuri sana ipo Dar es salaam
0719909691 / 0763166893
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app