Wabongo Michigan...Tangazo!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,630
4,232
zitto.jpg

Distinguished Tanzanians and All Africans in the Diaspora

It is with great happiness and enthusiasm that I send
warm greetings to you and your family.I do wish many
blessings to your family's health, wealth, progression
at work and all aspects of life as I am corresponding to
you.

Please consider this letter as a special invitation to
meet and talk with our distinguished Member of Parliament,
Mr. Kabwe Zuberi Zitto Mbunge wa Kigoma Kaskazini,who will
be in town on a tour organised by the State Department.

I would also like to express our deepest appreciation to the
honourable M.P. for accepting our invitation on short notice.
This will be a formal sit down dinner where we would like to be
brainstormed about the political happenings back at home.

Thus I'm inviting all Tanzanians who would like to meet the
honourable M.P. to come on time as he is expected to arrive at
4:30 pm.It is our desire to commence the meeting at 5:30 pm so
that our distinguished guest can be back to his hotel by midnight.

He will be on a one day tour of Michigan and it is my prayer that
this meeting will boost the unity of the Tanzanian Community in Michigan.

Please feel free to contact me or many members of the board with
suggestions.Continued blessings to you and your family.


DAY: Sunday 05/04/08
TIME: 5:30 pm sharp
PLACE: Mfinanga Residence


SINCERELY: AYUB MFINANGA
CHAIRMAN, TAMI
586 354 5479

Jamani msiniue...nimefanya kama kuedit na kutransfer kutoka kwa michuzi.
Hata hivyo kila awezaye atokee basi!

Original Yake hii: http://issamichuzi.blogspot.com/2008/05/hon-zitto-kabwe-in-michigan-sunday.html#comments
 
thanks,,ebwana naomba contacts za Zito kuna kitu najaribu kuorganise hapa nilipo,,ila contacts zake imekua taabu naomba nitumiwe kwenye PM kama kuna mtu anazo
 
Wapendwa mabibi na mabwana,

Jumuiya ya Watanzania Michigan (TAMI) kwa kushirkiana na KLH News International na Bongo Radio itakuletea matangazo ya moja kwa moja toka Detroit watakapomkaribisha Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe (CHADEMA) kwa chakula cha jioni. Matangazo hayo yatarushwa kupitia tovuti ya http://www.bongoradio.com toka KLH Mobile Unit kutoka eneo maarufu la Eight Mile (lililopewa umaarufu na filamu ya EMINEM ya "Eight Mile"). Shughuli yote itakuwa kuanzia majira ya kama saa moja hivi (EST sawa na -5GMT, masaa saba nyuma ya Tanzania) na kuendelea. Tunawakaribisha Watanzania wote, marafiki na wale wote wanaoitakia mema nchi yetu katika shughuli hii ISIYO ya kisiasa, kichama au mrengo wowote wa kiitikadi zaidi ya Watanzania kukutana na Mbunge kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa TAnzania ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma. Kwa hivyo ni nafasi ya kutembelewa na kiongozi wa kitaifa na heshima kubwa.

Karibuni wote.

KLH News Editor in Chief
 
This is Good News......and....will The Honorable M.P. be visiting any other state...
 
sidhani kama itakuwa hivi hivyo... atakuwa Michigan for few days kwa shughuli zilizomleta na baadaye wana misafara mingine. Kama kuna mtu Arizona (Phoenix area) wasiliana nami..
 
Asante Mzee Mwanakijiji.....mimi niko Massachusetts nilikuwa naulizia tu kama nasi tungepata "opportunity" kama hiyo.
 
phew. sorry.. duh alikuwa NY leo so sidhani kama he'll be coming back East Coast... maana nadhani wanaelekea magharibi zaidi....
 
phew. sorry.. duh alikuwa NY leo so sidhani kama he'll be coming back East Coast... maana nadhani wanaelekea magharibi zaidi....

Mwanakijiji basi tutakutana hapo kesho kwa Ayubu
Hio interview itakua pale pale ama itabidi mambo
ya secluded area?
 
itakuwa hapo hapo.. haitakuwa interview.. ni matangazo tu ya matukio yenyewe jinsi yalivyo na tutarusha mawaidha yake au kama atapata nafasi ya kuzungumza...
 
Nimekupata mkuu.Shukran kwa kazi njema. Je tutaruhusiwa maswali au m'da wa Q & A.
 
Duh, Makubwa hii sio fair hata kidogo yaani mlikuwa na mpango huo hata msitualike mapema wengine tunaokaa miji ya jirani?...

Ayub, MKJJ vipi wakuu niliwategemea nyie yaani loooh!... haya tutawasikia ktk bomba la KLH.
 
mzee..mkandara.... kusema tuliogopa sana kuipublicise sababu ya accommodation na facilities... huu ndio ugeni wetu wa kwanza wa kitaifa kwa hiyo tutaboronga hapa na pale. Lakini tunataka kufanya kile ambacho hakijawahi kufanywa kabla; kuleta matangazo ya moja kwa moja toka eneo husika na hivyo kuwawezesha watu kufolloww kinachoendelea.

AT... muda ni mfupi sana kwa hiyo tutaangalia chochote kitakachoweza kufanyika lakini zaidi sisi tumemualiika kwa maakuli ya jioni tu na "meet and greet" session.... hatujapanga hotuba au mambo yanayofanana na siasa ingawa najua mengine yatajitokeza lakini itakuwa unscheduled...

so we'll see how that works out...
 
mzee..mkandara.... kusema tuliogopa sana kuipublicise sababu ya accommodation na facilities... huu ndio ugeni wetu wa kwanza wa kitaifa kwa hiyo tutaboronga hapa na pale. Lakini tunataka kufanya kile ambacho hakijawahi kufanywa kabla; kuleta matangazo ya moja kwa moja toka eneo husika na hivyo kuwawezesha watu kufolloww kinachoendelea.

AT... muda ni mfupi sana kwa hiyo tutaangalia chochote kitakachoweza kufanyika lakini zaidi sisi tumemualiika kwa maakuli ya jioni tu na "meet and greet" session.... hatujapanga hotuba au mambo yanayofanana na siasa ingawa najua mengine yatajitokeza lakini itakuwa unscheduled...

so we'll see how that works out...

Thanks for the clarification bro!
 
Duh, Makubwa hii sio fair hata kidogo yaani mlikuwa na mpango huo hata msitualike mapema wengine tunaokaa miji ya jirani?...

Ayub, MKJJ vipi wakuu niliwategemea nyie yaani loooh!... haya tutawasikia ktk bomba la KLH.

Mkandara pole sana kwa kupata taarifa late.

Mimi mwenyewe ni mkazi wa MI na sikupata taarifa.I just happened
to be on issamichuzi site na nikakumbana na hii announcement...

http://issamichuzi.blogspot.com/2008/05/hon-zitto-kabwe-in-michigan-sunday.html#comments

Basi nikaonelea kwa vile JF ina a bigger clientele nisafirishe
humu ndani.Kwa hivyo chukua maelezo ya mwanakijiji as an explanation to the shortcomings.
I believe next time we will have a better, bigger and more organised invitation of the political figures from back home.

Kama ulivyosema naamini utapata maelezo kupitia KLH News/podcast.
Twatakiana heri!
 
Tunatarajia kuanza mapema zaidi kuliko tulivyotarajia kwa sababu ndege ya Mhe. itakuwa hapa mapema zaidi hivyo anayekuja bora awahi for sitting is limited.
 
Haya wadau wa USA huko kwenye shoka ambako mpini unakaribia kukatika leteni habari....................
 
Back
Top Bottom