-Used for 2 month.
-Haina tatizo lolote la kiufundi utaruhusiwa kutest.
-Utapewa contact na kila kitu ikikuharibikia unarudisha,hatukuuzii kijanja barabarani,simu ipo dukani.
Na kuna Samsung S10...
Nasaga soya mbegu kuwa soya mafuta bei maelewano.Kama unahitaji kusagiwa lakini kama unahitaji iliyotayali inapatikana bei kilo 1 @1,500/=tu.locatio (mbagala chamazi) karibuni.
kwa mawasiliano...
Habari?
Kwa wale wapenzi wa kusoma riwaya mbalimbali za marehemu Mtobwa, tunapenda kuwajulisha kuwa vitabu hivyo vinapatikana Arusha na Dar es salaam.
Vitabu hivyo ni kama ifuatavyo;
Malaika wa...
Infared thermometers kwa wenye maduka,malls,mashule,viwandani,majumbani nk kupima mtu joto la mwili bila kumkaribia zinapatikana kwa bei ya shilingi laki 3 tu.
Sanitizer 100ml bei elfu 10
500ml...
Habari zenu WanaJamii wenzangu,
Mimi naitwa Hamza naishi Zanzibar. Shinda yangu kubwa ni kujua vifungashio vya mtindi vinapatikana wapi.
Naomba anifahamishe
s
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nilivyoeleza hapo macho yangu yanauma ninapokuwa nafanya kazi zangu ambazo zinanilazimu kuwa kwenye PC kwa muda mwingi sasa nahitaji kujua kwa hapa Bukoba wapi naweza ipata
Sent using Jamii...
Habari wakuu,
Tunabadili matumizi ya ofisi na kuuza vifaa vya ofisi vifuatavyo
1. Meza mbili za plastic - zote 140,000 (@ 70,000)
2.Viti 3 vya plastic -vyote -30,000
3.laptop ya hp - 300,000...
Habari JF!
Nataka kufanya finish kwny nyumba yangu kutokana na hali ya hewa iivyo ss nimeona bora niweke PVc gutter hivyo nahitaji kujua vifaa vinavyohitajika na gharama yake kwa bati yenye urefu...
Tunauza asali mbichi
[emoji979]Tumia asali mbichi kila siku kwa afya njema
[emoji979]Asalimbichi ya nyuki wadogo na wakubwa kutoka tabora na katavi
[emoji3591]lita moja 12,000
[emoji3591]nusu...
Nauza Samsung s8 kwa bei ya kutupwa.
Wakuu habari
Kutokana na janga hili la COVID-19 ambalo limeniathiri kwa 100%.
Naiweka sokoni simu hii ambayo nimeinunua mwezi December mwaka jana mpya...
Ipo Ndofe, Igoma..
- Ina vyumba vitatu kimoja ni master
- Sebule& dinning room
- Jiko
- Public toilet ya ndani
Nyumba ni mpya. Kiwanja kimeshipimwa ambapo ukubwa wa eneo ni 25*35 mita. Maji yapo...
Nina uhitaji wa haraka sana wa pesa, ninauza TV yangu... LG, Full HD nimeitumia kwa mwaka mmoja lakini ipo katika hali nzuri. Ipo hapa Sinza A, karibu na Mlimani City!
Tuwasiliane kwa...
Ipo Buhongwa mita 150 kutoka barabara kuu ya lami.
Ina
Nyumba 3(master brdroom mmoja)
Sebule & siiting room
Jiko & store
Store ya nje
Maji & umeme vyote vipo
Nyumba tiyari ina hati na ukubwa wa...
Habari za muda huu wakuu.. Nmekuja kwenu kuomba msaada wa kuelekezwa wapi Sufi znapatikana na gharama zikoje Nina plan kuanza project ya kutengeneza mito. Karibuni kwa Mawazo mbarikiwe.
Baadhi ya huduma zetu ni darasa lakufuatwa na kufundishiwa ulipo, mafunzo ya mtu mmoja mmoja kwenye gari na mwalimu wake, mafunzo ya jumamosi na jumapili kwa wasio na mda siku za kazi
Tupo wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.