Toyota Premio new model for sale

Toyota Premio new model for sale

skfull

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
2,944
Reaction score
2,390
Toyota premio
Year 2004
Cc 1490
New tyre
Full document
Price ml.13
Gari nzuri sana ipo Dar es salaam
0719909691 / 0763166893
Karibuni
IMG_20200427_122906.jpg
IMG_20200427_123130.jpg
IMG_20200427_122951.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20200413-WA0029.jpg
    IMG-20200413-WA0029.jpg
    63.3 KB · Views: 23
  • IMG-20200413-WA0030.jpg
    IMG-20200413-WA0030.jpg
    58.5 KB · Views: 24
  • IMG-20200413-WA0026.jpg
    IMG-20200413-WA0026.jpg
    58.7 KB · Views: 25
  • IMG-20200413-WA0025.jpg
    IMG-20200413-WA0025.jpg
    60.8 KB · Views: 23
Bei kubwa Sana Bora niagize nje tuu

Sent by IPhone
 
Huyo anaeuza premio G 13m hivi anajua Bei ya kuagiza mpaka ifike mkononi.gari Ina zaidi ya miaka mitatu toka isajiliwe bongo.uhalisia wa hiyo gari Ni 10m.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani muwe mnaangalia na kipindi chenyewe hiki.
Hiyo gari kiroho safi ilitakiwa muanzie mil.9
Madalali mbona hamuelewi lkn.

Hiki ni kipindi cha mpito jamani eleweni basi.
Nina mil 9 cash mfukoni hapa hiyo DPR

Allah kariim
 
Jamani muwe mnaangalia na kipindi chenyewe hiki.
Hiyo gari kiroho safi ilitakiwa muanzie mil.9
Madalali mbona hamuelewi lkn.

Hiki ni kipindi cha mpito jamani eleweni basi.
Nina mil 9 cash mfukoni hapa hiyo DPR

Allah kariim

Ni kweli maana hata marekani juzi kati mapipa ya mafuta ghafi yalikuwa yanauzwa dola -30 kutokana na kukosa soko na kujaa huko kunakohifadhiwa. Ila Tanzania cc ni masikini tuvumiliane. Gari yangu hiyo mwisho 11.5m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom