Shamba linauzwa mkoani Kilimanjaro

Shamba linauzwa mkoani Kilimanjaro

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,650
Wana bodi wasalaam,
Shamba lina uzwa lenye ukubwa wa Ekari mbili.
Lipo Moshi Mjohoroni mbele kidogo shia lipo chini ya barabara kuu lami kata ya kiborloni Municipal
Bei:55ml mazungumzo yapo.
Mwenye kuhitaji atanipata at 0762411561.
 
Hekari 2 kwa 55ml. tena eneo lenyewe ardhi ni ngumu na kuna ukame wa kutosha upo serious kweli wewe?
 
Yaani kwa Moshi hiyo ni bei rahisi sana. Hakunaga kuuza boma kule.
Hakuna hilo,Moshi naifahamu yote hilo eneo sio yale ya makazi ya Ukoo useme kwamba ni prime sana hadi ifike bei hiyo. Hilo eneo ni tupu na ni kame kabisa hakuna makazi ya watu hapo,na pia hilo eneo hakuna la ziada mpaka ifikie hiyo bei,kama hilo eneo lingekuwa ni KCMC angalau kidogo inge sound lakini sio hapo Mjororoni.
 
Unaijua moshi kweli wew acha kupotosha kwahilo eneo hiyo bei no reasonable kabisa
 
mkuu kwetu ni hapo sango mbele kidogo ya shia/..... ukweli being ya mashamba huko ipo huu sana
Sawa kabisa ninalo lingine liko hapo lowasi miguu 110x100 ukiwa hapo unaona magari yakipita Main road
 
Bei ni milioni 60 maelewano yapo.
 
Wana bodi wasalaam,
Shamba lina uzwa lenye ukubwa wa Ekari mbili.
Lipo Moshi Mjohoroni mbele kidogo shia lipo chini ya barabara kuu lami kata ya kiborloni Municipal
Bei:55ml mazungumzo yapo.
Mwenye kuhitaji atanipata at 0762411561.
 
Wana bodi wasalaam,
Shamba lina uzwa lenye ukubwa wa Ekari mbili.
Lipo Moshi Mjohoroni mbele kidogo shia lipo chini ya barabara kuu lami kata ya kiborloni Municipal
Bei:55ml mazungumzo yapo.
Mwenye kuhitaji atanipata at 0762411561.
 
Kweli Magu sio mtu mzuri had wachaga wanaamua kuuza 'viamba' tena kwa matangazo mtandaoni ujue sio mchezo coz wanajifanyaga hawatoi ardhi kwa wagen, tutaona mengi msimu huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom