Jipatie sanitizer kwa bei nafuu

Jipatie sanitizer kwa bei nafuu

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,239
Zipo za ujazo wa
- 60mls kwa 8k
- 200ml kwa 15k

Kwa wateja wa dar ukichukua kuanzia 2 na kuendelea za 200ml au 3 na kuendelea za 60ml... unaletewa ulipo. Mikoani pia tunatuma kuanzia 15 pieces kwa bei chee.

KARIBUNI TUPO MAKUMBUSHO DSM,
Mawasiliano 0769509430 na 0716704990.

IMG-20200427-WA0010.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaeni na masanitaiza yenu nyie mmeona janga imekuwa fursa kwenu kupandisha bei
Nasema hivi sinunui
 
Conc. ni ngapi? maana umeonyesha volume tuu,na kwenye sanitizer kitu muhimu zaidi ni conc.
 
Mkuu mls 60 kwa elfu nane? ,vipi mtu akichukua spirit mls 500 kwa shilingi 3000 na kuchanganya na glycerin ya miatano akapata dawa murua kuliko hayo madude yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mls 60 kwa elfu nane ni wizi mkubwa sana ,mtu achukue spirit mls 500 kwa shilingi 3000 na kuchanganya na glycerin ya miatano akapata dawa murua kuliko hayo madude ya huyu jamaa,sio kwamba namharibia biashara yake hapana,ila nikosa kujitajurisha kupitia matatizo ya watu
Lifestyle sanitizer wanauza 100ml kwa 2500

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mls 60 kwa elfu nane ni wizi mkubwa sana ,mtu achukue spirit mls 500 kwa shilingi 3000 na kuchanganya na glycerin ya miatano akapata dawa murua kuliko hayo madude ya huyu jamaa,sio kwamba namharibia biashara yake hapana,ila nikosa kujitajurisha kupitia matatizo ya watu
Huku nilipo 65ml ni 2.5k

Back
Top Bottom