supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 1,023
- 1,979
kwema wakuu? natafuta iphone 5 toleo lolote kwa bei ya chini sana, au android yoyote kwa 100k maximum...niko Arusha..
Ni vizuri simu ikawa ya kwako, maana namnunulia mtu ambaye yuko kijijini so isije ikawa na matatizo ya kukimbizana na Polisi (namaanisha isiwe ya wizi)