Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Gharama za Silent Ocean zipoje?Kuna mzigo wa Laki na nusu nataka niagize sasa nashindwa kujua gharama zao wanachaji vipi Kwa mfano mzigo wa kilo moja wanachaji shilingi ngapi kuusafirisha kutoka...
1 Reactions
40 Replies
14K Views
Natumia epoxy resin kwenye mbao na chuma kutengeneza saa za ukutani ,meza (kwanzia coffee table hadi zile kubwa kabisa)serving boards,stools pia naweka countertops za maofisini ,jikoni, bar na...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Karibuni mazulia ya manyoya na makapeti kwa garama rafiki kabisa Kapeti kama hili 80 upungufu kidogo upo 80 pia manyoya ukubwa sawa na hizo hapo juu bei bei 130k rangi ni cream kote manyoya...
4 Reactions
145 Replies
79K Views
Ipo Dodoma mjini Inatumia Umeme tu. Ina piston 2 Ni used kwa miez 6 tu Ipo katika Hali nzuri unachukua na kutumia tu Ujazo wake ni Lita 100 Bei 550,000/= fixed Contact : 0659200302 (WhatsApp)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi naomba msaada wa mtu au company inayoweza nitengenezea logo ya company yangu.....campunkyangu inajiusisha na uzalishaji na uuzaji wa nafaka,
0 Reactions
2 Replies
613 Views
*CHUMBA NA SEBULE* CHOO NJEE TILES GYPSUM FENSI MAJI UMEME IPO. MBEZI BEACH (BARAZA LA MITIHANI) BEI 100,000/= KWA MWEZI MALIPO YAFANYIKE KUANZIA MIEZI MINNE (4) CALL 0694237241[
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kichwa kilivyojieleza hapo juu nimekuja humu ndani nikiomba msaada wa mawasiliano ya uongozi wa kata ya Upanga mashariki Kwasababu niliacha nyaraka zangu pindi nilipokua huko Dar. Sasa...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Ndugu zangu naomba mnijuze wapi na bei gani Dar es Salaam nitapata mifuko ya kuhifadhia nafaka kama mahindi zisioze bila kuweka dawa.
0 Reactions
18 Replies
11K Views
mwenye iyo biashara maeneo ya kkoo an pm naitaj kwa jumla
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Buda mobile water dispenser pump ina uwezo wa kumimina maji kutoka kwenye dumu lolote inakaa na charge sana una charge mara moja inakaa na charge ndani ya mwezi bei ya kuuza ni 35000 lakini kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Aina -Ni Mi_Sey Ina ujazo -wa Lita 100 Ni used - kwa miezi isiyopungua 5 Ila bado nzima kabisa na inafanya kazi fresh tu . Bei : laki 5 na 70 Nipo Dodoma mjini Kwa atakae hitaji Simu : 0525803444
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ni nzima haina tatizo lolote ipo clean sana napatikana kinondoni studio dar es salaam bei ni 85,000/=(negotiatable) call/txt -0711251922
0 Reactions
1 Replies
1K Views
haina tatizo lolote bei ni 450k ipo manzese argentina karibuni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunauza machine bei poa, tunafanya delivery poote mikoani tupo dar machinga complex For information s call 074894219. Bei ni 800k 750k laki nane
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Je unafahamu kwamba njia rahisi na ya haraka ya kujifunza jambo ni kwa njia ya sauti?Je unajua kwamba unapotazama kitu kwa macho ili ukielewa kinaenda kwenye mfumo wa sauti?Je unafahamu kwamba...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Karibuni tunadagaa safi wa kukaanga n.a. viungo toka Mwanza. Wapo kuanzia 1kg 10,000 pia tuna package ya ndogo ya4500 na package ya 8500.karibuni napatikana Ubungo karibu n.a. stand ya mkoa unaeza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Specification: Manufacturer: Dell Latitude E5430 RAM: 4GB HDD: 320GB Battery autonomy: 4-6hrs CPU: Core i3 Speed: 2.5GHz Other features: USB ports [USB 2.0, USB 3.0], Wi-Fi, Memory card slot...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Autoguru garage ni kampuni inayoshughulika na utengenezaji wa magari kuanzia, kunyosha magari na kupiga rangi service za magari diagnosis engine overhaul kubadilisha vioo Alarm systems Fleet...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wandugu, nauza gari yangu aina ya Vitz ya milango mitatu (Bei ya kuanzia kuuza ni Tshs. 4,200,000/=) Pungufu unaongea, dhumuni la kuuza gari hii ni kutaka kubadilisha gari, ni gari...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Back
Top Bottom