Ninaomba msaada wamawasiliano ya kata ya Upanga

Ninaomba msaada wamawasiliano ya kata ya Upanga

Thesmartphone class

New Member
Joined
Aug 27, 2020
Posts
1
Reaction score
1
Kama kichwa kilivyojieleza hapo juu nimekuja humu ndani nikiomba msaada wa mawasiliano ya uongozi wa kata ya Upanga mashariki Kwasababu niliacha nyaraka zangu pindi nilipokua huko Dar. Sasa naomba mawasiliano ili niweze fahamishwa kua nazipata vipi?
 
Back
Top Bottom