Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Karibuni tunadagaa safi wa kukaanga n.a. viungo toka Mwanza. Wapo kuanzia 1kg 10,000 pia tuna package ya ndogo ya4500 na package ya 8500.karibuni napatikana Ubungo karibu n.a. stand ya mkoa unaeza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Specification: Manufacturer: Dell Latitude E5430 RAM: 4GB HDD: 320GB Battery autonomy: 4-6hrs CPU: Core i3 Speed: 2.5GHz Other features: USB ports [USB 2.0, USB 3.0], Wi-Fi, Memory card slot...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Autoguru garage ni kampuni inayoshughulika na utengenezaji wa magari kuanzia, kunyosha magari na kupiga rangi service za magari diagnosis engine overhaul kubadilisha vioo Alarm systems Fleet...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wandugu, nauza gari yangu aina ya Vitz ya milango mitatu (Bei ya kuanzia kuuza ni Tshs. 4,200,000/=) Pungufu unaongea, dhumuni la kuuza gari hii ni kutaka kubadilisha gari, ni gari...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
SHELFU ZA DUKANI ZIPO MBILI BEI 100,000/= ZIPO MBEZ BEACH CALL 0694237241
0 Reactions
0 Replies
2K Views
PAGALE LINAUZWA MKOANI DAR ES SALAAM TANZANZANIA ************************* Mahali:MBWENI Eneo:TETA PAGALE LINA VYUMBA 4 VYA KULALA VYUMBA VYOTE NI MASTER ************************ -Ina public...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu nna milioni tano nahitaji gari aina ya ist ya kuanzia maisha namba iwe c au b hamna shida isiwe na mazoezi tu nimejalibu kuunga unga pesa iongezeke imeshindikana...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hi guys! Natafuta wauzaji wa jumla wa nguo na viatu vya kiume ila wawe wanaimport wenyewe, tukielewana vizuri naweza kuwa customer wao. Targeted customers ni average income earners. Unaweza kuniPM.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu JF Kioo cha tv yangu kimepasuka. Naomba kuuliza hvi hapa mjini Dar wapi naweza pata kioo cha tv inch 55?? Naomba Msaada ndugu zangu kama kuna mtu anajua wapi nitapata. Ahsante
0 Reactions
13 Replies
5K Views
kwa wale wanafunzi na wazazi wenye wanafunzi ambao wanasoma advqnced physics au diploma, nawapa bishara njema kwa kuwa vitabu vilivyoandikwa kwa ustadi na Elias kihombo sasa vinapatikana kwa bei...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari!kwa muhitaji wa kusafirisha mizigo kutokea Dar es salaam kuelekea Mbeya mpakaTunduma waone A&E transportation kwani watafikisha mzigo wako kwa usalama zaidi na kwa wakati sahihi na kwa...
0 Reactions
1 Replies
496 Views
Habari zenu wapendwa.mimi ni mjasiriamali mdogo ninapack bidhaa mbalimbali zikiwemo ubuyu, visheti na tambi. Lkn changamoto yangu kubwa ni vifungashio. Naomba kwa anaejua vinapopatikana anijuze plz
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza flash zenye ukubwa wa gb 32 kwa sh 20,000 za kitanzania. Napatikana Tabata DSM Mawasiliano 0762905779
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Machine mpya ya kisasa ya kukatia nyama samaki na mifupa Ina uwezo mkubwa wa kufanya kazi Ina sehemu ya kusagia nyama Ni imara na ina warranty Ina motor yenye nguvu Bei 1,350,000 tu Free delivery...
5 Reactions
38 Replies
9K Views
FRIJI USED KUTOKA UK LINAGANDISHA VIZURI LINAPOOZA NI ZURI KWA KUFANYIA BIASHARA BEI 380,000/= MAWASILIANO 0742859215
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Habar wakuu , Naomba msaada wapi nitapata tyre za gari kwa bei nafuu na yenye ubora
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu Kama kichwa cha habar kinavosema Nipo DSM, nahitaji sofa used la watu wawili, liwe Clean, at good condition Bei natoa 80k Kama unalo upo dsm njoo pm uchukue pesa chap!
0 Reactions
1 Replies
955 Views
kitanda peke yake ni 340k,godoro 160k ni inch 8 vipo dar es salaam mabibo 0768048752-call/whatsapp/txt
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Karibuni kwa wanaohitaji kununua gari PRICE MIL 20 Make: Toyota Model: Rav4 Year: 2001 Engine size: 1790cc Mileage:51,000km Seat capacity: 5seats Colour:Silver Fuel: Petrol Drive: 2WD...
0 Reactions
3 Replies
996 Views
NETWORK- 2G, 3G & 4G DISPLAY SIZE - 6.2 inches. PLATFORM - OS Android 9.0 (Pie), upgradable to Android 10 INTERNAL MEMORY - 32GB RAM - 2GB MAIN CAMERA - Dual 13 MP SELFIE CAMERA - Single 8...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom