castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,818
- 3,282
Natumia epoxy resin kwenye mbao na chuma kutengeneza saa za ukutani ,meza (kwanzia coffee table hadi zile kubwa kabisa)serving boards,stools pia naweka countertops za maofisini ,jikoni, bar na restaraunt na hotels mbalimbali ......kwanzia transparent kama kioo pia na rangi tofauti zaidi ya 40 metalic colours....
Kila kitu ni custom made yaani mtu atakachotaka ndo namtengenezea bei sababu ya orders ya mteja napatikana arusha,usa river mitandaoni nafahamika kama @pnj_crafts (instagram na facebook) no ya kupiga ni 0745162364 na pia whatsapp napatikana kwa no 0788162364 ......karibuni sana.