Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nauza TV aina aborder kwa 220000/= Ina double glass yani vioo viwili Inamstari kidogo kwa chini Ina support kila kitu Dar es salaam 0762693368
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu Wana JF , Natumaini ni wazima. Nilikuwa naomba msaada wenu , niko na vito aina ya Green Garnet (Tsavorite), Sasa Nlitaka kujua Napataje soko la kuuza hivi vito ! Maana viko vingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chajieleza. Naomba mwenye gari used but in mint condition kwa ajili ya matumizi ya familia naomba tufanye biashara kwa kiasi nilichokisema hapo juu yaani 7.2M. Napendelea Brand...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
NAHITAJI MASHINE KAMA HII, NTAIPATA WAPI?
0 Reactions
50 Replies
23K Views
RAM 4 GB, ROM 64 GB, ANDROID 11, BEST CLASSY CAMERA 12 MP, ( PORTRAIT, NIGHTSIGHT, 4K VIDEOS ) VERY CLEAN 97% NEW INAKUJA NA CHARGE TYPE C, COVER NA SIM EJECTOR, SIFANY EXCHANGE, NIPO SINZA , BEI...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Jamani! Nipo natokea Tabora naelekea Kisumu Kenya ila natarajia kununua samaki wa kwenda nao huko. Kwa wenyeji naomba mnipe mwalo wa kupata hizo samaki kwa bei ya jumla
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Karibu tukuhumie tunauza jezi original na vifaa vya michezo aina mbali mbali popote tanzania tunatuma Dukan kwetu ni arusha karatu 0718505171
0 Reactions
4 Replies
813 Views
Jipatie Huduma ya Web Design/ Blog & domain names sawa na Bure kama .com, .net, .org, .co.tz , .ac.tz, kwa Tsh 30,000/ year. Ambazo ni chip sana ni .tk, .ca, .ga, kwa Tsh 15,000/ kwa mwaka mzima...
7 Reactions
97 Replies
16K Views
Kwa huduma safi na salama kwa maitaji ya matengenezo na ufungwaji wa viyoyozi vya aina zote za majumbani na ata maofisini na Viyoyozi vya magari kutengeneza wasilina nasi kwa namba 0752 44 37 77...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayeuza gari aina ya Toyota Wish au Toyota Volt basi mteja ushampata. No C/D Wasiliana na mimi kwa sms/whatsapp/ call 0699494650 DSM Update1 *Nahitajii raum au ist namba d offer ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeipenda sana hii teknolojia ya hizi tofali,nimeifatilia lakini bado sana kitanzania haienea. Nataka kujenga kwaio nazitafuta na mafundi wake pia. Mwenye kujua karibuni tujuzane
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Kampuni ni Kampuni; Kunazo faida kibao za kumiliki Kampuni. Usipate taabu sana Tutakufanyia kazi yako kiurahisi, ni ndani ya masaa ama siku ama wiki tu kampuni itaanza kukuingiza pesa. Inategemea...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
habari ya wakati huu wadau. ninatumia Samsung J2 Pro kwa miaka mitatu sasa. lakini sasa betri yake imechoka. ikiwa na asilimia 30 simu inazima pia betri yake imevimba. Naombeni mnijuze wapi naweza...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Toyota Sienta # D Year, 2004 Engine, 1400cc Milage, 100,000 km Kuna jamaa anataka kuniuzia kwa 8.0 mil. Naombeni uchambuzi wenu ktk uimara wa gari hii, unywaji wa mafuta, safari ndefu mfano...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
Toyota E 100 Gari nzima mnoo Imeridiwa rangi mara moja A/C ya kujaza Gas & Miguu haigongi Milioni 3 . Engine 5A,Cc 1490 Location:Mtoni Kijichi Sms/whatsapp 0699494650
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Friji Mpya Kabisa (Haijatumika) TShs. 700,000/- BRAND : VON HOTPOINT - 209L Capacity Fridge - Interior Thermostat - Bottle Guard Compartment - Transparent Shelves - Lock And Key - Dark Silver...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
....Millango iliyotengenezwa na Mbao aina ya Mininga ambayo haina kovu wala doa inauzwa... Bei yake ni 350,000 Ipo hamsini(50).. Urefu ni Cm 220 na Upana ni Cm 90. Ni mizuri sana kutokana na...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa Wasomaji wa Kiswahili DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019 Bei mpya za vifurushi vya DTSV vitakuwa ni: Jina la Kifurushi Idadi ya Chaneli Bei ya Zamani...
3 Reactions
26 Replies
25K Views
Wakuu nauza TV aina aborder Ina double glass yani vioo viwili,,cha nje kikivunjika kinabaki cha ndani Ina msitari kidogo tu hapo chini Bei ni 230000 Dar es salaam 0762693368
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom