Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tanki la maji aina ya Polytank linauzwa Liko Dar lakin mnunuzi utaletewa mpk ulipo Bei 1,500,000 Tsh Karibuni.
0 Reactions
27 Replies
22K Views
Ninauza simu yangu Samsung c8 Storage 32gb Ram3gb Fingerprints Display inch 5.5 Version 7.1 Battery 3000mAh #0693363895 Bei 260 tu
0 Reactions
3 Replies
962 Views
KRK NCH 8 M8 LOCATION: NZEGA TSH:750,000/= 0620307124 sms only 0685825715 whatsap
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hallow wana jamvi nimewaletea mashine nyingine ya kuranda na kuchana mbao yenye uwezo mkubwa baada ya ile nyingine kununuliwa bei ni sh. 2,800,000 karibu tuwasiliane bei ni rahisi sana tofauti na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapi wanauza mashine za kuosha vyombo dish washer kwa Dar ? Kama unaweza kujua na bei tafadhali nisaidieni
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Iko arusha Bei 70,000 0782100623
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Habari Wakuu, Niko Dar, naulizia Duka Wanalouza Materials ya kutengeneza cream au lotion. Piga 0713039875 kama walijua.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Toyota Fancargo Year:2001 Engine:cc 1290 Km:80,000+ Price:5.3M bei inazungumzika Contact:0765 290 727
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari Smartphone inahitajika bei elekezi 120,000/= iwe infinix au tecno Location MBEYA MJINI
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF. Kwa heshima zote, nahitaji fundi atakaye nifundisha ufundi wa ujenzi, au kupaua au pia finishing na decoration....ambaye nitamlipa posho ya Maji kwa mwezi. Natanguliza...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu heshima yenu jamani naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimefatilia thread zinazohusu biashara ya kuku wa kienyeji kwa Dar sijapata majibu ya uhakika naombeni anayefahamu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wakuu..! Naomba msaada kwa mdau yeyote anayejua sehemu ambayo naweza pata trays za mayai za PVC. Natafuta trays hizi kwa sababu zinarahisisha usafirishaji wa mayai
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kwa wale wafanyabiashara wa nguo au watembeaji kama mimi mnaoweza nisaidia kujua ni wapi naweza pata duka la nguo za watoto wa kiume hasa hasa SUTI au pigo zozote za ki ofisi na ki utu...
2 Reactions
17 Replies
11K Views
Rav4 Kill Time ipo sokon Km 199,000 Engine: 1AZ D4 Gearbox: Manual Bei inaanzia 7.5 mazungumzo yapo.! Simu: 0626 64 95 98 Location: Kimara Mwisho
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa wakazi wa Morogoro na mikoani huduma mpaka mahali ulipo, nauza tshirt manga plain kwa jumla bei zetu ni poa sana. Weka oda mapema na rangi ya tshirt utakazo.
2 Reactions
11 Replies
7K Views
Zimetumika miezi 18 Bei ni 350,000/- ila Ina maongezi Zipo Sinza A, karibu na Mlimani City Call/WhatsApp: +255676095799
2 Reactions
2 Replies
597 Views
Assalam alaykum, Waungwana ningependa kuuliza kwa hapa Dar es Salaam 1 bag ya skimmed milk powder (25Kg) iwe LATO, NIDO au yoyote yale ni bei gani? Na naweza kupata wapi hapa mjini? Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini, wanaohitaji aluminium and upvc madirisha, milango hata profile dar es salaam na nchi nzima kwa bei rafiki kama 1. Upvc kwa (m²) yaani square meter 170,000/= 2. Aluminium kwa (m²) square...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari Ili biashara yako itambulike kisheria basi yakupasa uisajili kwa kuzingatia taratibu zote zinazohitajika ili uweze kukamilisha usajili wako, unaweza kuisajili ukiwa kama mmiliki binafsi...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Wakuu habari za saa hizi. Subwoofer hii inauzwa ipo katika hali nzuri tu imemaliza ni mwaka mmoja tu toka iliponunuliwa, ina Sound nzuri, Mdudo pia uko vizuri. Bei yake ni sh 160000 Tsh za...
2 Reactions
29 Replies
46K Views
Back
Top Bottom