Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau habari za jioni naulizia eti hapa DSM kuna duka gani wanauza miwani za macho yenye upungufu wa uwezo wa kuona .. maana kuna hospitali moja nilipimwa macho nikaambiwa niko na shida ila sasa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari za leo wadau, Kama nilivyo ahidi kwamba nitakua na tabia ya kupost ramani ya nyumba ile ambayo naendelea kuchora. Hivyo hapa ndipo nilipo ishia. Ila bado naendelea nayo kila napo pata muda.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
0656804462 WhatsApp/call 0752999094 Vifaa vyote vya computer utavipata kwa Bei nafuu kabisa Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TAFADHALI SINA UFAHAMU WA KUTOSHA WA MAJENERETA. HELA YANGU SI KUBWA NIMEAMBIWA JENERETA 5.5 KW NA LILE LA 6KW NI MAZURI. NILITAKA KUCHUKUA 5.5 KW NIKAAMBIWA IPO 6KW NDO NZURI. HEBU NISHAURINI...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Storage:32gb Camera:potrait[emoji39] Battery health:100% Network:2g\3g\4g Ram:3gb Mawasiliano:0719636092 0752156818
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Tumia OMGrace Black Castor Oil ni kiboko kwa ukuzaji na utunzaji wa nywele,kama unasumbuliwa na mba na miwasho baada ya kusuka pia ni suluhisho lako. ukinunua utapokea na karatasi ya maelekezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
~ Funga mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako ~ Mfumo wako wa petrol au diesel uliopo hauondolewi unabaki ~ Kwa Mtungi wa kilo 15 gesi asilia unaogharimu 22,500 unatembea kilomita 200 ~ Chaguo...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Imesajiliwa kwa alama za vidole Inapokea commission 100k tu Interested nicheck 0765042806
0 Reactions
34 Replies
3K Views
DN holdings company limited ni logistics company inahusika sana na kutoa shehena za mizigo mbalimbali bandarini kama mawakala wa forodha(clearing and forwading) Dn holdings company limited...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
NAUZA PIKI PIKI LOCATION MWANZA, MAGU AINA MAHINDRA COLOUR BLACK MODEL AROW CC 110 MWAKA WA KUTENGENEZWA 2015 IMETENGENEZEWA INDIA TRANSMITION 4 GEAR CONDITION , GOOD US NEW INA KM 58,000 DOCUMENT...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mziki huo na buster yake, Buster watts 2400 Mziki watts 1800 Zote kwa pamoja 350,000 tshs tu Location Dar ea salaam Contact Whatsapp tu 0622 869965
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nahitaji laini za uwakala,Airtel Money na Mpesa .
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana JF. Naomba msaada kwa kufahamishwa ni wapi ninaweza kupata mkopo wa riba nafuu wa kumalizia ujenzi (finishing) ya jengo langu. Vigezo viwe riba nafuu na muda wa kutosha kulipa deni (kuanzia...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari wana jukwaa Nahitaji chumba single self chenye jiko na umeme wa kujitegemea kiwe popote ndani ya ARUSHA Panapofikika kwa urahisi kwa kupanda gari moja tu la kufika town Bajeti yangu ni 80k...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Nina design aina yoyota ya matangazo, vipeperushi, mabango na kadhalika. Wasiliana nasi: +255684101707 kwa watsapp pia utatupata kwa namba hiyo hiyo. Hii ni moja ya kazi yetu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NAUZA WALLET ORIGINAL ZA NGOZI NA SAA OG AINA YA STAINLESS STILL (HAZIPAUKI) CAL.+255 788-224220 +255 767-562153 +255 678-335833 BEI YA WALLET SH.25,000 BEI YA SAA SH.35,000 UNAPONUNUA BIDHAA...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau, nauza mota zangu 2 za hp 3 kila moja.Mota zote ni nzima kabisa na hazina shida yoyote.Ni za phase 3. Zote ni made in germany na zinauwezo kutumika kwenye phase 3.Bei ni laki 3 kila...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kutana na offer ya kipekee kabisa kutoka kwa Umoja 1.Mambo ya kuamka asubuhi mgongo na umauma sasa basi Nini: Godoro Kampuni: QFL DODOMA kampuni bora ya magodoro Size: 6 x 6 inchi nane (6 x 8...
5 Reactions
29 Replies
7K Views
Habari za jioni wapendwa, Karibu ujipatie simu ya iphone kwa bei nafuu kabisa, simu ni moja tu na ni used. Haijapasuka wala kukwaruzika pahala na camera yake ni matata. Simu bado ni nzima kabisa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa...
1 Reactions
0 Replies
785 Views
Back
Top Bottom