Tanki la maji la lita 10000 linauzwa

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,574
3,635
Tanki la maji aina ya Polytank linauzwa
Liko Dar lakin mnunuzi utaletewa mpk ulipo
Bei 1,500,000 Tsh

Karibuni.
 
Picha hiyo,,lina mwaka mmoja tu ila ni km jipya kabisa
 
Attachments

  • 1457983918827.jpg
    1457983918827.jpg
    39.9 KB · Views: 673
wale wenye ujenzi huko kwenye masaiti tenki hilo bado lipo
 
hata wale wanaotaka fanya biashara ya kuuza maji linawafaa pia

na utaletewa mpaka kwako
 
milion 2 na laki 1
Nitanunua but under Conditions,
1) Nita-confirm dukani hiyo 2.1Mil then kama ni kweli basi kesho nitakupa Tshs 1.2Mil
2) Uwe na risiti ulionunulia ili nikajihakikishie dukani kua ni kweli ulinunua mwaka mmoja uliopita
 
Nitanunua but ubder Conditions,
1) Nita-confirm dukani hiyo 2.1Mil then kama ni kweli basi kesho nitakupa Tshs 1.2Mil
2) Uwe na risiti ulionunulia ili nikajihakikishie dukani kua ni kweli ulinunua mwaka mmoja uliopita
risiti ya mwaka mzima uliopita tena ya tank la maji afu kwa mtanzania. plastic ni material ambayo haichakai kirahisi ivo labda kama linavuja.
 
Nikitaka ulipeleke sehemu lakini likiwa na maji utaweza?,offer ni 1.3m
 
Nikitaka ulipeleke sehemu lakini likiwa na maji utaweza?,offer ni 1.3m
mkuu kukuletea likiwa na maji ni ngumu sana mana kulibeba lenyewe tu ni ishu,nachoweza ni kulisafirisha likiwa tupu mpk kwako kwa hapa Dsm

Karibu.
 
Nitanunua but under Conditions,
1) Nita-confirm dukani hiyo 2.1Mil then kama ni kweli basi kesho nitakupa Tshs 1.2Mil
2) Uwe na risiti ulionunulia ili nikajihakikishie dukani kua ni kweli ulinunua mwaka mmoja uliopita
haina shaka kiongozi,,unaeza kwenda mwenge pale au buguruni karibu na aly amza,,ukishajiridhisha tutaweza kuongea bei vizuri

karibu.
 
Back
Top Bottom