Mkopo wa kumalizia ujenzi wa nyumba

fungafunga

Senior Member
Mar 30, 2010
116
155
Wana JF.

Naomba msaada kwa kufahamishwa ni wapi ninaweza kupata mkopo wa riba nafuu wa kumalizia ujenzi (finishing) ya jengo langu.

Vigezo viwe riba nafuu na muda wa kutosha kulipa deni (kuanzia miaka 3-5)

Natanguliza shukurani.
 
Mkuu ukichukua mkopo Wa kujenga nyumba utakuja iuza nyumba ulipe mkopo ,Nyumba inagharama Hasa upande wa finish ...

Chakufanya "Chukua mkopo fanya uzalishaji kwa mda mpaka pale utakapo kuwa katika uzalishaji wako .mf

Ukikopa Tsh 500 ,yenye riba Tsh100 ukavuta sigara ya Tsh100 ,utabakiwa Tsh400 tayari unadeni Tsh200 ambayo haijazalisha, na ile Tsh 400 utatakiwa uzalishe upate faida yako naKisha urejeshe deni.

Pesa ya mkopo ni ya kuzalisha tu nasio kuifanya fixed assets..
 
Matumizi bora ya nyumba huweza kuwa chanzo cha uchumi. Inawezekana anataka kuimalizia nyumba yake ili afanye shughuli za kuzalisha kama vile nyumba ya biashara ambapo atapata kodi na kuwa mapato hivyo akaweza kutumia kurejesha pesa alizokopa lakini pia nyumba yenye eneo la kutosha unaweza anzisha miradi ya nyumbani kama kilimo cha bustani na ufugaji ambavyo pia ni chanzo cha mapato na yakatumika kulipa deni ambalo umejengea au kufanyia finishing nyumba yako.

Nadhani imefika wakati taasisi za kifedha zione umuhimu na fursa hii adhimu ya kutoa mikopo ya ujenzi wa nyumba itarahisisha watu wengi kumiliki makazi bora na yenye kuleta tija kwa jamii. Miji yetu itakuw kwa kasi sana maana makazi yataongezeka na miji kujengeka kwa kasi. Hivi Tanzania hatuna benki ya nyumba?
 
Mkuu ukichukua mkopo Wa kujenga nyumba utakuja iuza nyumba ulipe mkopo ,Nyumba inagharama Hasa upande wa finish ...
Chakufanya "Chukua mkopo fanya uzalishaji kwa mda mpaka pale utakapo kuwa katika uzalishaji wako .mf
Ukikopa Tsh 500 ,yenye riba Tsh100 ukavuta sigara ya Tsh100 ,utabakiwa Tsh400 tayari unadeni Tsh200 ambayo haijazalisha, na ile Tsh 400 utatakiwa uzalishe upate faida yako naKisha urejeshe deni.
Pesa ya mkopo ni ya kuzalisha tu nasio kuifanya fixed assets..

Socrates!
Wewe nielekeze ni taasisi ipi inatoa mkopo wenye masharti nafuu. Hayo mengine niachie..
 
Wana JF.

Naomba msaada kwa kufahamishwa ni wapi ninaweza kupata mkopo wa riba nafuu wa kumalizia ujenzi (finishing) ya jengo langu.

Vigezo viwe riba nafuu na muda wa kutosha kulipa deni (kuanzia miaka 3-5)

Natanguliza shukurani.
Waone Hawa,

First Housing Finance(T)
plot no 19, Barack Obama Drive
po box 11990
+255 22 2113456

Ushindwe wewe mkuu.
 
Mkuu ukichukua mkopo Wa kujenga nyumba utakuja iuza nyumba ulipe mkopo ,Nyumba inagharama Hasa upande wa finish ...
Chakufanya "Chukua mkopo fanya uzalishaji kwa mda mpaka pale utakapo kuwa katika uzalishaji wako .mf
Ukikopa Tsh 500 ,yenye riba Tsh100 ukavuta sigara ya Tsh100 ,utabakiwa Tsh400 tayari unadeni Tsh200 ambayo haijazalisha, na ile Tsh 400 utatakiwa uzalishe upate faida yako naKisha urejeshe deni.
Pesa ya mkopo ni ya kuzalisha tu nasio kuifanya fixed assets..
Somo hilo.
 
Chukua mkopo kama ni nyumba ya biashara. Kwa mfano unapata shirika kama benki kina chukua nyumba yako kwa mkataba wa miaka 20, pesa watakayokulipa italipia mkopo na baada ya muda huo nyumba inakua ya kwako.
 
Back
Top Bottom