Chumba cha kupanga Arusha kinahitajika

Chumba cha kupanga Arusha kinahitajika

IsaacMG

Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
91
Reaction score
124
Habari wana jukwaa
Nahitaji chumba single self chenye jiko na umeme wa kujitegemea kiwe popote ndani ya ARUSHA Panapofikika kwa urahisi kwa kupanda gari moja tu la kufika town
Bajeti yangu ni 80k hadi 120k.
 
Mimi ninayo "Double" with living room adjorned with kitchen, bath, toilet and small store. Ziko 6 in 1 in fenced area, with borehole and own LUKU. There is additional shared LUKU for pumping water and security light. Iko 1 km from Tripple A white rose road. For viewing call God 0754481521 Price fiixed TZS 200,000 payable three months in advance
 
Kasema ana 80k mpaka 120k.
 
Habari wana jukwaa
Nahitaji chumba single self chenye jiko na umeme wa kujitegemea kiwe popote ndani ya ARUSHA Panapofikika kwa urahisi kwa kupanda gari moja tu la kufika town
Bajeti yangu ni 80k hadi 120k.
Kikipatikana utafutwaje sasa?.
 
Maisha ya arusha hayako kama nilivyokuwa nayafikiria kumbe....chumba self plus jiko kwa elfu 80??
Arusha maisha ni ya kawaida ukiamua kuishi maisha ya ghalama ni ghali lkn ukiamua kuishi maisha ya kawaida hakuna gharama ni kama mikoa mingine mkuu
Karibu Arusha
 
Ningekuunganisha mahali kuna nyumba mpya ndio zimejengwa singo self lakini naona kama wewe ni wale wapangaji wasumbufu u much know sana.
Hizo ni hisia zako tu mkuu ila nataka chumba chenye sifa hizo na si vinginevyo
 
Maisha ya arusha hayako kama nilivyokuwa nayafikiria kumbe....chumba self plus jiko kwa elfu 80??
Lakini unakuta cha wastani sio kikubwa kihivyo.
80 hiyo hata Njiro anapata ila sasa sehemu zingine mvua ikinyesha nje unapachukia ilo tope.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom