Umoja 1
Senior Member
- Sep 26, 2018
- 111
- 284
Kutana na offer ya kipekee kabisa kutoka kwa Umoja 1.Mambo ya kuamka asubuhi mgongo na umauma sasa basi
Nini: Godoro
Kampuni: QFL DODOMA kampuni bora ya magodoro
Size: 6 x 6 inchi nane (6 x 8 lugha ya kitaalamu)
Cover: TX au mkanda (utaona kwenye picha vizuri)
Wapi: Ukonga banana Dar es salaam
Bei: 220, 000 tsh( no discount)
Zingatia: hii ni offer (shida iliyochangamka) hakuna sehemu utapata hili godoro kwa bei hiyo ya 220,000tsh hata kiwandani keko kwa muhindi hupati.Bei hii ya 220,000 tsh ni bei ya 5 kwa 6 inchi 8 ila mimi nauza 6x6 nchi 8.
wakuu chukueni godoro nipate pesa ya kulipia kodi.
View attachment 1566231View attachment 1566233View attachment 1566234
Updates
GODORO NI JIPYA KABISA
Mood acheni ujuaji kwnye heading nimeweka godoro ni jipya nyie mmeitoa.