Msaada: Nahitaji makaa ya mawe

Msaada: Nahitaji makaa ya mawe

Nahitaji makaa ya mawe kwa wingi, anayehusika na biashara hii anicheki tafadhali.

Au naomba kuelekezwa wapi yanapatikana kwa wingi na taratibu za kuyanunua na usafirishaji.

Ahsante.
Rahisi sana ndugu yanapatikana songea kitai na niserekeli wanayauza haya cha dalali wala mtu kati, nenda ofisi yamadini na maliasili utapata mwongozo unalipia bank wanakupatia risiti waenda yachota pale kitai. Hata juzi nilikuwa hapo yapo mengi sana.
 
Back
Top Bottom