Nauza Blender na Rice cooker zote bado mpya

Nauza Blender na Rice cooker zote bado mpya

Natafuta matibabu

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2020
Posts
262
Reaction score
301
Nimekwama na nahitaji hela ya haraka ili niweze kutatua shida yangu.

Katika vitu nilivyonavyo na angalau vinaweza kunipatia hela ya kukidhi shida yangu ni Blender na Rice cooker. Kwa hiyo nimeamua niviuze. Hizi ni mpya kabisa sijawahi kuzitumia tangu nizinunue.

Naziuza kwa bei kama ifuatavyo:
Blender Tsh 40,000/=
Rice cooker Tsh 50,000/=

Tuma sms kupitia namba 0621377949 nitakuletea popote ulipo kwa maeneo ya Dar es Salaam na Kibaha
 

Attachments

  • IMG_20201021_155629.jpg
    IMG_20201021_155629.jpg
    55.7 KB · Views: 21
  • IMG_20201021_155335.jpg
    IMG_20201021_155335.jpg
    31.8 KB · Views: 20
  • IMG_20201021_155241.jpg
    IMG_20201021_155241.jpg
    27.2 KB · Views: 21
  • IMG_20200218_111939.jpg
    IMG_20200218_111939.jpg
    20.3 KB · Views: 20
  • IMG_20200218_111902.jpg
    IMG_20200218_111902.jpg
    14.4 KB · Views: 19
  • IMG_20200218_111840.jpg
    IMG_20200218_111840.jpg
    18.8 KB · Views: 18
  • IMG_20200218_111819.jpg
    IMG_20200218_111819.jpg
    22.7 KB · Views: 20
  • IMG_20200218_112109.jpg
    IMG_20200218_112109.jpg
    17.9 KB · Views: 21
Mzigo unapatikana wapi, nahitaji hiyo rice cooker
Kama wewe unapatikana maeneo ya Dar es Salam au Kibaha, nitakuletea mzigo mimi mwenyewe

Naomba unitumie sms kupitia 0621407949 ili tupeane maelekezo zaidi
 
Asante nimeipata inapiga kazi vizuri wali dk 15 tu umeiva..ngoja nianze kuchemshia makande niende sawa na wapangaji unit zangu ziende kihalali..
Ugali c unapikia humu
View attachment 1621307
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Kwahiyo umeamua mkomoane wote kwenye umeme sio?
 
Back
Top Bottom