Nyumba/pagala ya vyumba vitatu choo jiko na sebule inauzwa mlandizi

Sep 4, 2020
21
26
Habari wakuu,nyumba ya vyumba vitatu choo jiko na sebule inauzwa Janga Mlandizi Kibaha Pwani,ipo kwenye mandhari mazuri umbali wa kilomita moja kutoka Mlandizi center mwendo wa dakika tano kwa usafili na dakika ishirini na tano kwa miguu.

Nyumba bado haijaisha vizul ila wenyewe wanaishi humo wameezeka temporaly/kwa mda ila imejengwa kisasa sana ina vyumba vitatu sebule choo cha public na jiko,barabara ya mtaa imeishia kiwanja cha jiran mbele na kwa nyumba imeishia nyumba ya jiran na njia ya miguu na pikipiki inapitika kiurahisi mpaka hapo,kiwanja kina ukubwa wa miguu 20*20 (400sqm)

Wenyewe wanaitaji milioni kumi na moja (11000000) maongezi kidgo yapo,kwa makadilio ya fundi na mimi niliyesimamia ujenzi wa nyumba iyo ni kwamba kwa hapo ilipofikia ikiongezeka milion saba tu nyumba inaisha vizur na kupendeza sana kutokana na ilivyojengwa na ikiwa fundi wa finishing akiipatia,hivyo unaweza kununua nyumba kwa milion kumi na nane tu (18m) kitu ambacho huwezi kupata nyumba iliyocomplete kwa bei iyo hapa mlandizi mji unaokua kwa kasi na wa kibiashara.

Kwa uhitaji wa hii mali wasiliana nami kupitia namba zifuatazo 0743501957 na 0719056063 na nipo tiali kukusimamia nyumba yako baada ya biashara ikiwa umejipanga kwa finishing.
Asanteni na karibuni mlandiziView attachment 1621496View attachment 1621493View attachment 1621495View attachment 1621494View attachment 1621492View attachment 1621498View attachment 1621499View attachment 1621497
IMG_20201106_174800.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom