KIWANJA KINAUZWA
KIPO-DAR ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBAGALA
ENEO - CHAMANZI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃
UMBALI DK 4 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
__________
NYUMA YA SHULE YA SEKONDARI YA CHAMANZI...
Drone Online Ads tumekuwa kwa muda mrefu tukiwasaidia watanzania mbinu tofauti na ushauri bure wa namna ya kujenga nyumba bora kwa kutumia gharama nafuu. Hii inatokana na uzofu wetu katika ujenzi...
Ndugu zangu maisha haya kuna wakati inatakiwa mtu ukubali tu kuna waliokutangulia na ujishushe uombe msaada wao na ndicho ninachokifanya hapa kwenu ndugu zangu, nimejitahidi katika kuhangaika na...
Mahali: Kifuru mwanzo mgum jirani na stend mpya ya Mbezi Luis
Vyumba bado Vipya ko havina kipengele
Vyumba ni viwili yani sebule na chumba
Self container kwa kila mpangaji
Umeme kila mpangaji...
Viwanja vyenye ukubwa kuanzia 17.5 kwa 35 hadi 70 kwa 70 vinauzwa bei ni kuanzia mill 2 hadi 30 viwanja vipo Kawawa Pumwani Sango barabara ya Kilema Uchira na Njia panda
tunauza pia maeneo...
Habari,
Msimu mpya wa mavuno ya mahindi mkoani Ruvuma (Songea) umeanza karibu ewe mfanyabiashara ofisini tukununulie mahindi kwa bei poa. Sisi tunayo ofisi songea mjini, tunavyo vifaa vya kazi...
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza.Ninatafuta mbegu za mchongoma kwa ajili ya kupanda nyumbani kwangu ili iwe kama wigo.Nataka msimu huu wa mvua ndio niipande ili umwagiliaji uwe rahisi. Pia...
-Kiwanja kipo Kimara Temboni kwa Abas umbali wa km 2 kutoka Morogoro road
-Kina ukubwa wa sqm 700
-Barabara zinapitika vizuri
-Huduma za maji na umeme zipo
-Mazingira jirani(neighborhood) ni...
Habari wakuu.
Naulizia yoyote mwenye crane ya kukodi nahitaji kuna kazi ya kunyanyua kinu na kuweka kwenye base yake tu basi, ni crusher site.
Kama upo nayo au unamfahamu mtu mwenye nayo...
Nauza gari, mark 2 grande gx 110
Eng vvti-beams
Bei milioni 6.9
Inapatikana Kimara Mwisho
Kwa mawasiliano ni pm namba yangu imefungiwa na nida
Gari Ni yangu hakuna udalali
Nyumbani Business Plan LTD
Tunajivunia kukupatia huduma bora na zauhakika. Tunakushauri kitaalamu maana uzoefu wetu wa kazi unatosha kukupatia huduma chanya kwaajili ya kuhakikisha malengo yako...
Habari wadau naomba kufahamishwa kampuni inayosafirisha mizigo kwa njia ya meli toka China hadi Zanzibar kuna mzigo wangu nataka niupitishie huko.
Msaada wadau.