Msaada waungwana, natafuta buyer wa gem stone aina ya blue sapphire (rough/ uncut) ya morogoro... urgently awe hapa dar! 🔥
View attachment 1006507View attachment 1006509
View attachment 1006507View attachment 1006509
Uzito wa gram ni carat ngapi?
Sent from my SM using Tapatalk
Imeachia mwanga na hakuna mkatiko wowote kwa ndaniImeachia Mwanga?
Hapo kwa 600 ni furushi la helaCarat moja ni gram 0.200 (200 milligrams)