Natafuta chumba SUA, Mazimbu

Natafuta chumba SUA, Mazimbu

Hassan malika

Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
36
Reaction score
26
Habari wanaJF,

Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya SUA mazimbu campus, chumba kiwe karibu na chuo, kwa yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali naomba ani-PM.

Natanguliza shukrani zangu za dhati!
 
Nenda kwa mama Swalehe ananyumba Transformer baada ya makaburini bi mkubwa fulani safi sana. Kama utapata room usiwaze chukua tu.
 
nimetafuna totoz tam sana kipindi nipo Dark City Mazimbu pale, totoz za chuo tam mnoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom