Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ni fundi urembo wa Dirisha Nguzo Fensi Kona au pembe za nyumba Pia Tunafanya Skimming na Rangi kwa bei nafuu kabisa... Pia tunatengeneza Dirisha za Aluminium kwa bei safiii Simu : 0789005562...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Heshima yenu. Nahitaji mdada anayepatikana Dar es Salaam mjuzi hasa wa mapishi aje apike siku ya Krismas. Piga namba hii 0683 565025 Updates: Nimefanikiwa kupata. Nashukuru!
1 Reactions
7 Replies
764 Views
HISENSE SMART 4K INCH 55 USED FROM UK REMOTE CONTROLL PRICE 950,000/= CALL 0766776815
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Habari wakuu, Tukiwa na uzoefu wa kuzalisha bidhaa mbali mbali na mafunzo kwa wajasiriamali, Mpango wetu kabla ya January ni kuipandisha sabuni moja medicated isajiliwe TMDA na kuingia masoko...
1 Reactions
7 Replies
737 Views
Wadau mulioko dar. Nimepata deal la jacket naombeni kujua zinapopatikana hapa ili Jimamos nije nichukue mzigo. Jackets za kujikinga na mvua na baridi.
0 Reactions
3 Replies
830 Views
Habari wana JF,NTITY BRAND inakupa PUNGUZO KUBWA katika msimu huu wa sikukuu za Christmass na Mwaka Mpya, Kwa mahitaji ya huduma ya graphic designing kama 1. LOGO Alama ya utambulisho...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu, Tunauzoefu wa Zaidi ya miaka 10 wa Kufunga CCTV, Fensi za umeme, Alarm za usalama, Kengele za getini zinazoenyesha video na sauti (Intercom) pamoja ni system za kudetect moto. Kazi ni za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Good Condition Aux Hdmi Usb Optical Bluetooth Redio Remote Watt 1000 Call 0766776815
0 Reactions
3 Replies
730 Views
Gari ya Spacio new model inauzwa Imetunzwa vizuri na haina tatizo lolote Ipo Dar Gari ina full AC Redio & Dvd player New tyres Full documents Bei 6.8m Waweza kuja kuitest na fundi wako Maelezo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nauza mzani wa kidigitali ambao unapima hadi kilo 40 Bei ni 90000 0719805851
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Blackmagic ursa mini 4.6k cinema camera, inashoot RAW and proress RAW resolution 4.6k up to 60fps and 2k up to 120fps,camera nilinunua mpya sijaitumia kwa kazi yeyote zaidi ya kutest tu hapa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Karibu ujipatie viatu classic vyenye ubora wa hali ya juu Price;Tsh.25,000/= Free delivery kwa dar tu Call/text 0624463956 Size;41 Price; Tsh.25,000/= Free delivery kwa dar tu Call/txt...
1 Reactions
104 Replies
14K Views
Habari zenu! Natafuta dishi la DSTV ninauhitaji nalo kwa haraka sana mwenye nalo tuchekiane bei ni maelewano tu. 0655 780 270 Locations DSM
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master Sebule kubwa Dinning Store na jiko Ipo tabata liwiti Bei mil 70 mazungumzo yapo Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Wadau Nina simu yangu nauza. Simu ni Nzuri sana na haijawahi kuwa na changamoto yoyote ya kiufundi. Simu ni brand ya HTC, Model DESIRE 12+, RAM 4GB, internal memory 32 GB. Bei kwa maduka Mengi ni...
0 Reactions
6 Replies
921 Views
Kama unayo meza ya ofice droo 3 au mbili Kama unayo tv nchi 32 na nchi 25 Kama unalo kabati kubwa lakioo Tuwasiliane wahtsapp 0653054835
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Nyumba inauzwa Ipo kibada kigamboni 135 milion.. Negotiable to serious buyers Call 0744033555 Nyumba ina vyumba vitatu Master bedroom Choo public Maji + umeme guaranteed miaka mia Full...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni ZEC ina freezer pia Inagandisha vizuri sana nauza kwakuwa nimenunua kubwa sasa Bei 150k Iko dodoma 0715140001
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Fencing wire zinauza, Kama utahitaji na hizo chuma zake Bei itapoa kidogo. Fensi imetumika miezi 4, ilinunuliwa mwezi wa Kwanza Kisha ikazungushiwa kiwanja ambacho hakikuwa ramsi kwa mhusika...
1 Reactions
38 Replies
9K Views
Wakuu wasalam Nataka kuuza nguo za mtumba hasa zakike mfano magauni, top na jinsi lakin sijajua machimbo ya nguo haya yapo wapi, Kama hapa dar basi niambiwe wapi naweza kupata belo kali kwa bei...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…