tongelao
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 798
- 2,243
Wakuu wasalam
Nataka kuuza nguo za mtumba hasa zakike mfano magauni, top na jinsi lakin sijajua machimbo ya nguo haya yapo wapi,
Kama hapa dar basi niambiwe wapi naweza kupata belo kali kwa bei nzuri na pia kama nje ya Tanzania basi connection yake ili niweze kuagiza hilo belo..
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app