Viwanja vinauzwa mjini Chato

Mar 18, 2015
51
0
Habari za muda wadau wangu... Nawatangazia kuwa ninauza viwanja viko mjini wilayani Chato kingine kizuri sana kinatazama ziwa Victoria. Fanya mawasiliano haraka kwa Na. 0764601903 ndani ya siku tatu... Chato inafunguka kwa kasi ya ajabu.... Viwanja hivi vinafaa kwa biashara (Mahoteli) na makazi ....Wewe mwenyewe unajua Chato kuna nini saa good. TUWASILIANE....
 
Habari za muda wadau wangu... Nawatangazia kuwa ninauza viwanja viko mjini wilayani Chato kingine kizuri sana kinatazama ziwa Victoria. Fanya mawasiliano haraka kwa Na. 0764601903 ndani y'a siku tatu... Chato inafunguka kwa kasi ya ajabu.... Viwanja hivi vinafaa kwa biashara (Mahoteli) na makazi ....Wewe mwenyewe unajua Chato kuna nini saa good. TUWASILIANE....
Mkuu wala usiweke bei kausha hivyo hivyo mnunuzi wa kweli atakutafuta tu kupitia hiyo namba uliyo weka kwani humu ndani ukiweka bei kuna watu kazi yao ni kuponda tu na kuharibu biashara za watu ili watu wengine wakate tamaa xo anayehitaji kweli basi aku pm
 
Habari za muda wadau wangu... Nawatangazia kuwa ninauza viwanja viko mjini wilayani Chato kingine kizuri sana kinatazama ziwa Victoria. Fanya mawasiliano haraka kwa Na. 0764601903 ndani ya siku tatu... Chato inafunguka kwa kasi ya ajabu.... Viwanja hivi vinafaa kwa biashara (Mahoteli) na makazi ....Wewe mwenyewe unajua Chato kuna nini saa good. TUWASILIANE....
Nakuja chato mniachie tu kale ka kitovu cha utalii nichezee
 
Back
Top Bottom