Katumbasongwe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,017
- 1,149
Natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili sebule na jiko, malipo miezi mitatu,mitatu contact 0783161457
Budget yako kiasi gani??Natafuta chumba cha kuishi kiwe self maeneo bagamoyo kiwe karibu na chuo cha Adem
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu dawasco imepita ila asilimia kubwa ya chumvi
elfu 20 per room na kwa mwezi pia. Wapi nitapata vya bei hiyo ya wanyonge?Budget yako kiasi gani??
Unapata hata ukitaka cha 15,000/= vipo shekhe wangu ila ni uswahilini baba.elfu 20 per room na kwa mwezi pia. Wapi nitapata vya bei hiyo ya wanyonge?
Weka picha hapa..!80 chumba na sebure kinyerezi
da subiri nirudi home na kama unataka njoo inbox tuyajengeWeka picha hapa..!
Ukifike nistue nipo Bima hapa napata supu!da subiri nirudi home na kama unataka njoo inbox tuyajenge
poa natoka kazini saa nane mkuuUkifike nistue nipo Bima hapa napata supu!
huko huko ndo ninapopataka we nielekeze mitaa tu,,, mi nipo mikoani huku nataka nije nijaribu fursa jijiniUnapata hata ukitaka cha 15,000/= vipo shekhe wangu ila ni uswahilini baba.
Ujaweka picha mpaka leo au bado upo kazin?poa natoka kazini saa nane mkuu