Dadio
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 359
- 42
habari wana JF, Kuna nyumba kubwa inapangishwa maeneo ya survei, ni kama dakika tatu toka mlimani City. nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo ni master, sebule kubwa, dining room, kitchen na public toilet. bei yake ni 300,000/- shilingi laki tatu tu na unalipa ela yote kwa mwaka, hatuitaji dalali kwa hyo hakuna ela ya udalali kwa atakayeipata. nyumba ya pili ipo sehemu moja na hiyo ila itakuwa wazi kuanzia tarehe moja mwezi wa pili 2013, unaweza kulipa mapema kwa ajili yaa marekebisho madogo madogo, ni chumba na sebule, jiko pamoja na choo chake. bei yake ni 150,000/- shilingi laki moja na nusu kwa mwezi na unalipa kodi ya mwaka mzima, pia hakuna dalali, kwa anayetaka awasiliane na mimi kuiona na kulipa ela. nyumba zote mbili hazina uzio, ila gari zinafika mpaka mlangoni kwako. wasiliana na mimi 0713401812