Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Machine ya kuvyatua tofali za kuchoma inauzwa,Bei TZS 8000000 complete.Ina uwezo wa kuvyatua tofali 12,000 hadi 15,000 ndani ya masaa 8.Ipo Morogoro Mjini. Inavyofanya kazi check hapo :Tupigie...
1 Reactions
0 Replies
942 Views
DIGITAL STATIONARY 1. KUCHAPA (typing), KWA LUGHA ZA (Kiswahili,Kiingereza,Kijerumani,Kifaransa,Kichina,Hindi,Kihispania na Kiarabu) (i). Barua (ii) Curriculum vitae (CV) (iii) Vitabu...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Habari wakuu! Nauza gari yangu mwenyewe, Make: TOYOTA, Model: IST, Year: 2005, Transition: Automatic, Engine CC: 1290, Engine type: VVT-i, Milleage: 81,900KM. Sport Rims, New Tires zimefungwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Fremu Inapangishwa Mbezi Beach Interchick kituoni ukubwa wa 32 sqm kodi yake 350,000 kwa mwezi. Mawasiliano 0784336063
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza bajaji no CAF TVs nyeus haina tatizo IPO MBAGALA BEI 2,600,000 MAZUNGUMZO YAPO MAWASILIANO 0684-501087 zymiwa@hotmail.com
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Shalom, habarini za kutwa, nina interest ya kununua shamba maeneo ya kuanzia Kibaha kwenda hadi karibu na Mlandizi hapo katikati, kuanzia heka moja hadi tatu. Isiwe karibu sana na lami, mwenye...
2 Reactions
7 Replies
45K Views
Free delivery Dar CBD 0788282409 Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Brand New MacBook pro (15.4 inch) Core i7 @ 2.2ghz Ram 4Gb installed @(1333 Mhz DDR3) Intel graphics 3000(384 catch) HDD 500GB @1.5M available mbeya & Dar 0768540772
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kinapangishwa barabarani eneo la buyuni kuelekea Chanika ukubwa wa sqm 1300 bei 400,000 kwa mwezi. Mawasiliano 0784336063
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Jipatie mashine ya ice-cream au koni Kwa bei poa kabisa.pia utapatiwa mafunzo jinsi ya kutengeneza koni bure utapewa na mixer yake bure. Bei ni 2m , Mazungumzo yapo kidogo. Tuwasiliane Kwa namba...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwa mwenye uhitaji wa kujifunza accounting package kwa kuanzia tataanza na Tally kisha Quickbooks. Muhimu uwe na vitu vifuatavyo 1. Computer - Desktop/Laptop/Pad/Smartphone 2. Speaker - Kifaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari ipo,imepata ajali kidogo engine 1g, vioo viwili upande wa kushoto vimevunjika..tair zote mpyaa..batry mpya. Haina dalali..nichek kama utakua interested..0683 141402. Bei 2.5mil,maongezi...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Vituko haviishi vituo vya kazi siku hizi! Katika moja ya shule ya sekondary wilaya ya Uyui mkoani Tabora kumetokea sintofahamu baada ya mkuu wa shule kumtaka kimapenzi mke wa mwalimu wake wa...
0 Reactions
8 Replies
856 Views
Computer za aina zote zinaptkana HP, Dell, Accer, lenovo Tupo karume hapa, mawasiliano zaidi 0714894219
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Ninawasalimieni. Ninatafuta nyumba ya kupanga Dodoma Mjini, sifa ni hizi zifuatazo: 1. Bajeti 250,000/= mpaka 300,000/= 2. Muda wa kulipa ni miezi mitatu au chini yake. 3. Mahali-:Area A, Area...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
uwezo : mayai 1056 uendeshaji: inageuza mayai yenyewe(Automatic) umeme: inatumia umeme kidogo Sana kwa kuwa inatumia coil heater ambazo huzimwa automatically muda fulani sensors: temperature na...
1 Reactions
0 Replies
888 Views
Plot is situated at KIMARA- TEMBONI , 3KM from Temboni bus stand . plot ni tambalale ukubwa wa kiwanja ni SQUARE METER 900 ( 30 METER * 30 METER) ... PRICE MIL. 12,000,000/= (negotiable ) . ENEO...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu salama, Nauza tank za maji za rangi mbali mbali ila zimetumika kidogo mfano wake ni kama kwenye picha bei ni rahisi mno naziuza elf 90 zina chuma na zipo kwenye hali nzuri nilikua nazitumia...
2 Reactions
28 Replies
14K Views
Nahitaji turubai lolote used au jipya la ukubwa wa kufunika gari aina Mark X. Nipo Dar. Nichek 0683 141402.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Bado inapiga ruti kama kawaida Ya kubadilisha seat cover tu na kuendelea na shughuli za usafirishaji. Seat capacity: 16 passengers Engine, gearbox: viko sawa Loc: mbezi mwisho Dsm 0744033555
0 Reactions
6 Replies
936 Views
Back
Top Bottom