EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Azingatie huu ushauri utamsaidia.Mkuu,
Kwa Nini usiunganishe nyuzi zako kwa pamoja maana zina maudhui moja...
Pia jaribu kuweka na ramani halisi...3d
ngoja inabidi niufanyie kazi huu ushauri mkuu, japo sina nia ya kufanya biashara. Nyuzi zangu zitalenga kuonyesha tu design mbalimbali ambazo nataka kuzifanya katika kipindi chote nitakacho kuwa hapa j forum. Nikiwa na uzi mmoja tu, sidhani kama lengo langu litafanikiwa vile ambavyo nataka iwe.Azingatie huu ushauri utamsaidia.
unataka floor plan wewe. 😁😁😁😁Hio ndio ramani?
najua unataka niweke floor plan mkuu, 😂😂😂😂😂. Hiyo sio vyema kuiweka hapa, ni mwiko.
yeah in 3 DimensionsHio ndio ramani?
acha usaniiyeah in 3 Dimensions
Mimi tayari nnayo kwa phone yangu. hakuna ambacho kwa dunia ya sasa ni sirinajua unataka niweke floor plan mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo sio vyema kuiweka hapa, ni mwiko.
sasa usanii gani mkuu kwani 3 dimensions maana yake nini mkuu,acha usanii
hahahahaaaaaa sawa hamna tatizo mkuu,Mimi tayari nnayo kwa phone yangu. hakuna ambacho kwa dunia ya sasa ni siri
Hicho kitu hata nikimpa fundi ujenzi anaweza tengeneza vizuri tu na kupangilia zones kukidhi mahitaji ya nyumba za makazi.najua unataka niweke floor plan mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo sio vyema kuiweka hapa, ni mwiko.
Siwezi download kazi ya mtu mkuu, hizo ni kazi zangu mwenyewe.Hizo kazi una daulod mkuu. Huna lolote
hahahahahaaaaaaHicho kitu hata nikimpa fundi ujenzi anaweza tengeneza vizuri tu na kupangilia zones kukidhi mahitaji ya nyumba za makazi.
sc131
Sent using Linux 10.29
ndio nitajua tu, ww subiri ndio nimeanza kama Diamond hivyo. Hapo sijaingia darani sasa sijui nikiingia darani itakuwaje.We Jamaa hujui lakini una bidii sana
Tuanzie hapa kwanza halafu tuendelee.