Katika kuhakikisha kazi yako inakuwa safi na nadhifu kabisa. #watusmartpackaging tunajuza leo mambo muhimu kabla ya kuchapisha mifuko toka kwetu au sehemu nyingine.
1. Artwork /picha Kabla ya...
Habari,
Kama mada inavojieleza niko Mbioni kufungua chuo cha Udereva kwa ajili ya Mteja wangu mmoja na ninahitaji Mwalimu Mzuri wa udereva ambaye anatakiwa akidhi vigezo vifuatavyo:
Awe na notes...
Habari za leo wakuu?
Jamani mimi natarajia kuanza kilimo kwa ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, nguruwe pamoja na mbuzi wa kisasa (mbuzi wa maziwa).
Naomba msaada wa ushauri na maelekezo kwa wazoefu...
Hi vipenzi,
Naomba niwaagizie pochi hizi kwa Bei ya tsh 15 tu from china(transport inclusive), usafiri Ni siku 30 tu mpaka kupokea, minimum order Ni 5pcs.
Ni 3pcs ya wallet,pochi kubwa na...
Habari za jioni ndg.
Tunatengeneza kadi za PVC Kwa ajili ya mialiko mbali mbali ya event ikiwemo harusi, sendoff, kitchenparty, ndunduparty, na michango ya harusi. Bei zetu ni 150k badala ya 200k...
Habari wana Jamii naitaji gari Toyota Ist au Toyota Allex au Runx kwa offer ya ml.9
#kuanzia DS
0717064646
0766503680
Nipo Boko Dar-es-Salaam
Ofa Milion 9
Napenda kutambulisha kwenu kampuni ya Isecure technology inayojihusisha na mitambo ya kisasa ya kielektroniki ya usalama majumbani, ofisini , viwandani, godowns, mashuleni na sehemu yeyote...
Kila mtu anapenda kuwa na nyumba nzuri , ya kisasa na inayopendeza , lakini kuna jambo moja ambalo wamiliki wa nyumba au mafundi wanaohusika kwenye ujenzi huwa hawatilii maanani.
Leo nataka...
Habari.
Kwa karibu mwaka mmoja sasa tumekuwa tukitoa huduma ya security systems kama GPS tracker , security cameras , electric fence , access control systems.
Leo nimeona niongelee kuhusu huduma...
Karibuni mjipatie CCTV camera system kwa ajili ya usalama wa nyumba yako, Tunafunga system za kisasa kabisa zinazohakikisha kuwa itarekodi matukio yote muhimu na kuyatunza kwa muda mrefu zaidi...
bado bidhaa zetu zinapatikana, na kwasasa chaguo ni lako ukitaka kununua yaliopo ofisini kwetu sawa au ukitaka tukutengenezee hata hapo nyumbani kwako pia sawa, sisi tupo kwaajili ya kukuhudumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.