Magodoro ya spring (spring matress)

Magodoro ya spring (spring matress)

nomuyo jr

Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
21
Reaction score
11
Jipatie magodoro Original ya Spring kutoka kiwanda cha QFL magodoro Dodoma, kwa wateja wetu wa Dar es salaam tunakuletea hadi kwako buree kabisa na malipo yote yanafanyika nyumbani kwako ukishapokea mzigo wako.

Wateja wa mikoani tunasafirisha kwa nusu gharama na kwa uaminifu mkubwa.

Baadhi ya mikoa tuliyosafirisha magodoro

√Manyara √Tarime √Tabora √Babati √Dodoma √Morogoro √Kigoma √Simiyu n.k

5x6 nch 8 550,000tsh
5x6 nch 10 600,000tsh

6x6 nch 8 600,000tsh
6x6 nch 10 650,000tsh

Kwa maelezo zaidi
call/text #0719950144
Whatsap
Free delivery kwa wateja wote wa Dar es salaam

Karibuni wote kwa huduma bora na yakuaminika.

IMG-20190426-WA0002.jpg
 
niliwahi kuweka order duka moja la muhindi lakini sikufanikiwa kulipata na bei waliniambia mil 1.2 . Magodoro mazuri sana haya ukishusha spring zinarudi chini halafu zinampush mtuhumiwa juu kwa kasi akifika break kengele
 
vipi, wakati wa game na mchuchu springi haipigi kelele ?
 
Jipatie magodoro Original ya Spring kutoka kiwanda cha QFL magodoro Dodoma, kwa wateja wetu wa Dar es salaam tunakuletea hadi kwako buree kabisa na malipo yote yanafanyika nyumbani kwako ukishapokea mzigo wako.

Wateja wa mikoani tunasafirisha kwa nusu gharama na kwa uaminifu mkubwa.
Kwanini hizi spring mattress yanauzwa ghali sana?! Tofauti yake kubwa ni ipi?!
 
Back
Top Bottom