Nahitaji Mahindi ya njano Na maharage ya Njano

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
21,961
Reaction score
25,315
Niaje wakuu nahitaji kukusanya stock ya kutosha ya mahindi ya njano pamoja na maharage. Hivyo naomba kujua namna naweza kupata, nipo Arusha hapa..

Asanteni.
 
Mahindi ya njano yale ya kutengeneza bisbisi au popcon, na kwa kilo unanunua bei gani? Na maharage njano ndefu au njano fupi nayo unanunua bei gani kwa kilo moja,
 
Naifuatilia
 
Ndio ya popcorn yale mkuu.
 
Niaje wakuu nahitaji kukusanya stock ya kutosha ya mahindi ya njano pamoja na maharage. Hivyo naomba kujua namna naweza kupata, nipo Arusha hapa..

Asanteni.

Toa detail zote ndugu mjumbe.
Mfano

Offer yako imekaaje kwa mahindi kiongozi?
Then unahitaji kiasi gani maximum?
Wewe upo Arusha, in case mahindi yakipatatikana mkoa mwingine,utayafuata ama utahitaji uletewe ? Nk
 
Ningejua bei khalisi ya JUMLA ndo ningeweza kutoa odda. Popote pale nayafuata
 
Niaje wakuu nahitaji kukusanya stock ya kutosha ya mahindi ya njano pamoja na maharage. Hivyo naomba kujua namna naweza kupata, nipo Arusha hapa..

Asanteni.
Mi pia nipo moshi ninanunu au natafuta anayeuza maharage ya njano kwa gunia la kilo 100 bei yake iwe Tsh. 230,000 isizidi hapo, nitafuata mzigo shambani.
 
Ngoja wadau waje watakupa muongozo mkuu.
 
Tajiri wa maharage ya njano kutoka arusha,kama ni soya gunia nakupa kwa 400k fika likamba.
 
Back
Top Bottom