Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau, kwa yeyote mwenye shida tajwa hapo juu, tafadhali wasiliana nasi Ikiwa wewe ni mwanafunzi wa chuo unahitaji 'document' yako iwe 'polished' vizuri, Mfanyakazi na unahitaji 'document' yako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Kitanda cha kizamani 4*6 mninga na godoro lake naviuza kwa pamoja elfu 70. Kipo Kigamboni mbele ya Kibada. Godoro halijachoka lipo safi. Nimeambatanisha na picha. Mawasiliano 0622 426120.
2 Reactions
42 Replies
4K Views
01.Kiwanja namba (plot No.) 647. Block .... Ukubwa wake SQM 880. Bei milioni nane (8Mil). Daladala inafika kwenye kiwanja Karbu njoo DM 02.kiwanja kingne kina ukubwa wa SQM 427 Plot No.119 Maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari. Wakuu nahitaji hyo mashini ndogo ya kufulia,ndogo kabisa mfano picha hapa chini. Nipo Dar es salaam. Nicheki pm tufanye biashara. Karibu.
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kiwanja kipo Chanika mwisho njia ya Mvuti (Kwa Bwaje) Ukubwa wa kiwanja ni 20 * 40 (sqm 800) Umeme na maji vipo karibu. Bei ni Millioni 4 mazungumzo yapo. Kiwanja hakina dalali ni cha kwangu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jipatie gari hii ndogo ikiwa katika hali nzuri. Full Document Njoo ukague gari na fundi wako. Loc: Zakhem, Dar: 0744033555 Picha zaidi njoo whatsapp
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Shamba ni eka moja maeneo ya meresini limepakana na mto wona. Maji mwaka mzima. Bei mil 45 maongezi yako.
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Ndugu zangu ,marafiki zangu Napenda kuendelea kuwaambia kuwa ninatibu baadhi ya magonjwa na kutoa ushauli magonjwa mengine Magonjwa ninayo tibu -vidonda vya tumbo na chembe ya moyo -matatizo ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Schoolinsight ni mfumo unaotumika ku "manage" taarifa katika mashule kuanzia ngazi ya nursery hadi Advanced level. Mfumo huu ni "software as a service" ambayo tayari ipo hosted kilichobaki ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza Bajaji tvs shilingi milioni mbili na laki nne(2,4000,000) na pikipiki boxer laki tisa tu (900,000) kwa maelezo zaidi kama umepungukiwa au kuziona namba ni 0655634017 vyote vipo mbagala Dar
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Simu Samsung A10s inauzwa. 1 Dual camera- 13MP +2MP dual rear camera na 8MP front camera 2 finger scan- well functioning 3 warranty- 2years but used 3 months mpaka sasa 4 Octa core processor...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari, Nikiwa kama mdau wa mambo ya usalama leo kuna jambo dogo nahitaji kushirikiana na kukumbushana katika nyakati hizi nanyi wamiliki wa vyombo vya usafiri na wadau wengine katika sekta ya...
2 Reactions
55 Replies
8K Views
Inawezekana wewe ni mfanyabiashara, mjasiriamali, meneja usafirishaji, au ni mmiliki wa gari/magari. Leo nataka nikuonyeshe ni jinsi gani gari iwe ni yako ya binafsi au ya kiofisi linavyoweza...
4 Reactions
90 Replies
17K Views
Dell latitude E6320 Intel Core i7 2640m 2.80ghz 8gb ram 500gb hdd 7200rpm 13.3" display size Intel hd 3000 1.7gb graphics shared 2hrs battery Bei 365000/= Location MAKUMBUSHO stand DSM Call 0620552992
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta mteja wa kununua tikiti. Shamba lina ukubwa wa hekari4 wastani wa uzito wa matunda ni kg8,10,6,5 Shamba lipo ushirombo-Geita 0629306194
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Price: 1,300,000/= Call: 0712908015 Features ■Automatic detecting with UV (Ultraviolet) and MG (Magnetic) while counting. ■ Suitable for most currencies in the world ■ Automatic start, stop and...
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Mashine mbali mbali tunauza Tunapatikana Dar es salaam ilala tupigie #0659567058 Mashine za juisi ya miwa zipo million moja na laki mbili na nusu tu (1250000) inakamua na kuchuja yenyewe...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
MASHINE ZILIZOPO Machine za kukata nyama 1300000 Machine za juisi ya miwa 1250000 Machine za chockstick zipo aina mbili Tray Moja 3000000(million Tatu) na tray mbili million nne tu (4000000)...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom