Wapi ninaweza kupata machine ya kukunia nazi?

Wapi ninaweza kupata machine ya kukunia nazi?

Lello199

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
1,389
Reaction score
3,562
Habari wakuu!

Naomba kujulishwa mahali naweza kupata mashine za kukwangua nazi kama hii inayoonekana kwenye picha kwa hapa Dar es salaam na bei zake.

Natanguliza shukrani kwenu!

IMG_20210222_135810.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom