Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,806
- 2,724
Habari zenu woote,
Nahitaji kukodishiwa turubai mfano wa hili hapa chini, kwa muda wa wiki moja kw ajili ya klinik ya afya ngozi BURE.Itafanyika Mbezi mwisho , Dar es salaam.
Kama unajua wakodishaji, tafadhali nijulishe: 0713-039 875.