Habari karibuni tumeshusha mzigo wa tracksuits za watoto jumla na reja reja mzigo upo wa kutosha kabisa
Material ya tracksuits Ni 100% cotton✓
Umri Ni kuanzia miaka 4 Hadi 12✓
Bei ya jumla Ni...
Nauza decoder ambayo itakusaidia kupata huduma ya internet kwa wenye TV za smart ingawa inaweza kutumika pia kwenye Laptop na desktop, inatumia line za mitandao yote ya simu. Being yake ni 50000 tu.
Viwanja vipo vimepimwa na vina vibali vyote viwanja vipo maeneo ya kibada ni sehemu nzuri sana ni maeneo ambayo yameanza makazi ambapo kumejengwa nyumba kwa mpangilio mijengo ya maana hata masaki...
GREAT DISTRIBUTION AND MARKETING SERVICES iliyopo Arusha inanunua mayai kwa bei ya 5500 kuanzia trei 100.
Tupo Arusha Mjini
Kama una mayai wasiliana kwa namba zifuatazo 0622887399 au...
Habari jipatie tshets za watoto kuanzia umri wa miaka 2 Hadi miaka 10 Tshets zipo desgn tofauti tofauti Bei ya jumla kuanzia PC 10 Ni sh 5,500/= kwa Tshet moja
Zinapatikana kariakoo Dsm mtaa wa...
Takribani wiki mbili baada ya itel kumtangaza balozi wake ambaye ni Diamond platnumz, sasa imebainishwa sababu za Diamond platnumz kuipenda simu hiyo ambayo ni tolea jipya la itel A37 ambayo...
Somo letu la Leo tutazungumzia Jinsi ya kuandika matangazo yenye mvuto. Kwa hivyo kama unafanya biashara, unauza bidhaa au unatoa huduma, labda umeshawahi kujaribu kuandika matangazo lakini...
Unakosaje Huduma bora na uhakika wahi sasa
Von Hotpoint Cooker - Stainless Steel
Price Tshs 650,000/=
#Product Features
. 3 Gas Burner and 1 Electric Cooker
[emoji830]Electric oven and grill...
Ofa ofa tshs 30,000 na 25,000 tu kwa sqm moja
Viko: mbezi msakuzi
Mahali: msakuzi kwa lipe.
Umbali mita 500m mpaka masakuzi center pia kutoka msakuzi mpaka njia panda ya goba na makabe 4km...
Kwa huduma za kihasibu na makadirio ya Kodi za TRA kupitia mfumo wa e-filling usisite kuwasiliana nasi
For more information:
P.O. Box: 2513 - Dar es Salaam, Tanzania
Call/WhatsApp: +255 (0)713...
Hili Shamba lipo Inje kidogo ya Mji wa Vikindu-Mkuranga.
Siyo Mbali kutoka barabara ya Kilwa. Kutoka Vikindu kwenda Mbagala nahuri ya Daladala ni Tsh 400, k-koo nahuri ni TSH 600. Kwahiyo siyo...
Hili Shamba lipo Inje kidogo ya Mji wa Vikindu-Mkuranga.
Siyo Mbali kutoka barabara ya Kilwa. Kutoka Vikindu kwenda Mbagala nahuri ya Daladala ni Tsh 400, k-koo nahuri ni TSH 600. Kwahiyo siyo...
Nyumba mpya yenye Chumba kimoja masta pamoja na sebule.
Mahali: Mbezi Juu, Njia ya Goba, kituo cha tatu kutoka masana hospital..
Bei Tshs 150,000 kwa Mwezi.
Maji ya dawasa yapo, umeme luku wawili...
Sofa zinahitaji kufanyiwa ukarabati, kubadilishwa kitambaa. Yako mawili (La mtu mmoja na watu wawili )
Zipo, Dar es salaam, Mbezibeach, Tangibovu.
Piga 0742141467
Bei Tshs 100,000
Maelewano yapo
Nyumba ina vyumba 2 kimoja ni masta, pamoja na sebule, jiko, choo cha wageni.
~ Nyumba ipo karibu na barabara, dakika tano kwa mguu hadi kituoni. Ina eneo la kuegesha gari, huduma ya maji dawasa...