Gari aina ya IST inauzwa

Gari aina ya IST inauzwa

cabo

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
4,774
Reaction score
5,311
TOYOTA IST
#SILVER
YEAR 2005
AUTOMATIC
5 SEATS
CC 1290
KM 50000
BEI TSHS MIL 12 negotiable
CONTACT CALL 0625554142
 

Attachments

  • IMG_20181005_093637.png
    IMG_20181005_093637.png
    324.2 KB · Views: 79
  • IMG_20181005_181400.png
    IMG_20181005_181400.png
    248.3 KB · Views: 102
  • FB_IMG_1538753087700.jpg
    FB_IMG_1538753087700.jpg
    42.7 KB · Views: 65
  • FB_IMG_1538753077723.jpg
    FB_IMG_1538753077723.jpg
    34 KB · Views: 71
Sidhan kama hyo ist ni ya mwaka huo
 
IST mil 12?? mkuu unatuua ndugu zako, usiwe km mitandao ya mawasiliano. Hiyo bei kubwa sana kwa kuanzia mm siamini km unaweza punguza hadi kufikia chini ya 10mil😳 labda tuanzie hapo
 
IST mil 12?? mkuu unatuua ndugu zako, usiwe km mitandao ya mawasiliano. Hiyo bei kubwa sana kwa kuanzia mm siamini km unaweza punguza hadi kufikia chini ya 10mil😳 labda tuanzie hapo
mkuu biashara maelewano bila maelewano hiyo sio biashara
 
TOYOTA IST
#SILVER
YEAR 2005
AUTOMATIC
5 SEATS
CC 1290
KM 50000
BEI TSHS MIL 12 negotiable
CONTACT CALL 0625554142
Duh, umeanza parefu Mkuu
 
Hivi hii gari ndio mligomaga kuinunua eeeeett
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom